thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,557
Hii ni KG ngapi?Pressure cooker/Mult cooker 85000/=
0655366915
Dar es salaam
View attachment 2079683View attachment 2079684
Hii ni KG ngapi?Pressure cooker/Mult cooker 85000/=
0655366915
Dar es salaam
View attachment 2079683View attachment 2079684
Vibajaji vya Mzigo vipi siwezi kupata , kwa kanda ya Ziwa mostly hapo Mwanza
Ukipata chimbo la dar!Wakuu nauliza kwa anayejua wapi zinapatikana hizi radio kwa Dar?ni za zamani ila ni rafiki sana kwa mtu anayependa music mzuri.View attachment 2079256View attachment 2079257
Ukipata chimbo la dar!
Tustuee
Za umwagiliaji je?pump za visima au za genereta zile za umwagiliaji?
Hizi una uzaje?,ukubwa wake je?ninazo za kilimo boss kwa sasa...nikipata ya kisima nitakujuza,naomba nawasiliano usipojali.
hii hapa ni lifan 1.5" 6hpView attachment 2055356
Niko na wewe katika hiliMzee nahitaji zana tofauti tofauti za kilimo.
Za umwagiliaji je?
Hizi una uzaje?,ukubwa wake je?
Hivi hizi ndio zile hata kwa kilimo cha umwagiliaji zinatumika?
Na bomba zake aupump 360k
Vibajaji vya Mzigo vipi siwezi kupata , kwa kanda ya Ziwa mostly hapo Mwanza
Na bomba zake au
bidhaa Ni mtumba mbona hizo pump anauza Bei ya pump mpya kabisa?Na bomba zake au
bado zipo hizi na unatumia maji? na ziko wapiView attachment 2070185
View attachment 2070186
View attachment 2070187
View attachment 2070188
portable AC zote zinapiga kazi uzuri kabisa
bado zipo hizi na unatumia maji? na ziko wapi