Tafuta mafuta ya mzaituni, ponda punje Tatu za swaumu changanya na mafuta hayo.

*wakati wa kulala usiku sema neno, ELOI ALEPH-TAV mara tatu, jipake nyayoni lala, utalala kwa raha sana na baadhi ya magonjwa yatakuondoka utashangaaa rudia kila siku na iwe ni mazoea utafurahi sana.
(Jewish medicine)

N. B, Nitakuja kueleza hapa kwa nini Jews hufanikiwa sana and what they do?

Mkuu
 
Naomba msaada wa kuondoa madoa haya kwa mdogo wangu wa kike
umri miaka 15.

mwanzo alikua anasumbuliwa na upele uliokua unajitokeza kwa awamu na alipoenda hospital aliambiwa ni Allergy.

Hili tatizo la kupata vipele vinavyowasha lilikua lina kuja na kupotea baada ya muda....

Baadae kidogo ndipo limekuja hili la upele miguuni na baada ya upele kuondoka yamebaki haya madoa meusi...

Haya madoa yameharibu muonekano mzuri wa miguu yake kabsa....

Naombeni msaada kwa yeyote mwenye uelewa juu ya tatizo hili.

IMG20221006091731.jpg


IMG20221006091731.jpg


IMG20221006091717.jpg
 
Ndani kwangu nna janga la PANYA nimetumia dawa za kila aina lakin waap!! Hawaish wala kupungua

NB: mie cprnd paka kabisa mwenye dawa korofi anaweza nisaidia
 

Hot Pineapple Water Will Not Cure Cancer, Viral Claim Is False​


Pankaj Menon
ByPankaj Menon
August 24, 2022

0
5244

Facebook


Twitter


WhatsApp


Linkedin


While the scientific community continues to research the cure for cancer, a viral social media post claims to have found a cure that has “defeated cancer”- hot pineapple water. According to the viral message circulating in WhatsApp groups, adding a few slices of chopped pineapple to hot water and drinking this mixture can help boost the body’s ability to fight the disease. Newschecker has found the claim to be false.
Wakubali ili madawa na mashine za mionzi zikose soko?
 
Usingekopi na kupesti ingependeza zaidi, nitazungumzia hapa mti ambao huzaa matunda yanayofanana na jamii za kunde japo yenyewe ni marefu zaidi, mbegu zake ni dawa, majani yake ni chakula na dawa nzuri sana pia, mti huu ni mlonge(mti wa maajabu).

Endapo utatumia majani yake kila siku utazisahau dawa za hosipitali, huu si utani.
Asante sana huu mti nimeupanda kila eneo langu ninalomiliki. Mimi hasa nautumia kulisha mifugo kama sungura, mbuzi na ng'ombe. Nilijaribu mbegu zanke ila ile ladha yake ilinishinda.
 
Miguu kama inawaka moto sipati usingiz miguu inakuwa kama inakufa ganzi wakuuu,nini nifanye?
 
Usingekopi na kupesti ingependeza zaidi, nitazungumzia hapa mti ambao huzaa matunda yanayofanana na jamii za kunde japo yenyewe ni marefu zaidi, mbegu zake ni dawa, majani yake ni chakula na dawa nzuri sana pia, mti huu ni mlonge(mti wa maajabu).

Endapo utatumia majani yake kila siku utazisahau dawa za hosipitali, huu si utani.
Majani yake unayatumia kivipi na yanatibu maradhi gani... elezea kwa uchache
 
Wakuu nimejaribu unga wa karafuu na mafuta ya nazi lakini vipele usoni havitoki vya ndevu.
Na madoa yake.
 
Matumizi yake yakoje??

#MaendeleoHayanaChama
Unachemsha unakunywa kabla ya ovulation kwa mtu mwenye uhitaji wa kushika ujauzito
Kwa mtu mwenye maumivu wakati wa hedhi anatakiwa kunywa kwa mwezi mara tatu karibia na kuingia hedhi
Kuna ya kienyeji na kizungu, ya kienyeji ni nzuri zaid harufu yake ni kali tofauti na hyo na kizungu.
 
Back
Top Bottom