Uzi maalumu wa magari makali world wide

Dodge.

dodge 2.jpg

dodge durango.jpg

dodge ram truck.jpg

dodge.jpg
 
Cadilac escalade ya Bobi wine,Jamaa hakupewa heshima yake kwa kumiliki chuma hii kitambo hicho enzi za mwalimu.

View attachment 1820377
Wasanii wa uganda gari kali wamejitahidi kumiliki tokea zamani na hawana kelele sana
Kipindi hicho bongo celebrity ya ea wasanii wa ug walikua wanatisha kwa lifestyle yao
Ilikua wakija kuonesha wasanii wa tz wakina gk wananyanyua chuma tu nyumbani kwa wazazi wao jay dee angalau alikua la prado ya milango 3 🤣🤣🤣🤣
 
Wasanii wa uganda gari kali wamejitahidi kumiliki tokea zamani na hawana kelele sana
Kipindi hicho bongo celebrity ya ea wasanii wa ug walikua wanatisha kwa lifestyle yao
Ilikua wakija kuonesha wasanii wa tz wakina gk wananyanyua chuma tu nyumbani kwa wazazi wao jay dee angalau alikua la prado ya milango 3
Kweli mwanangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom