Jinsia inahusikaje ktk mkopo au nayo ni dhamana?
Weka picha yako hapa, niPM number yako nikutumie bila riba
Wapi naweza kupata mkopo wa haraka wana JF nisaidieni usio na riba kubwa???
uko serious nikutafuteKuwa specific ni mkopo gani unahitaji personal loan au business loan? Kama ni business loan nipm
M-pm with care.uko serious nikutafute
Unataka mkopo wa shilingi ngapi,riba hupangi wewe na masharti hupangi wewe,wewe huna pesa unakopeshwa huwezi kupanga mashrt,Mwisho kabisa Dhamana yako ni ni nini usije ukaingia mitini!Habari wana Jf nahitaji mkopo kwa ajili ya kuendeleza biashara
Mkopo huo utalipwa kwa awamu moja ila kwa atakaye toa pia atasikilizwa anataka kulipwa kwa awamu ngapi ila kwa anayekopesha kwa riba ni awamu 3 mpk 2 mfano laki na nusu atalipwa laki 2 kwa siku 45
Dhamana IPOUnataka mkopo wa shilingi ngapi,riba hupangi wewe na masharti hupangi wewe,wewe huna pesa unakopeshwa huwezi kupanga mashrt,Mwisho kabisa Dhamana yako ni ni nini usije ukaingia mitini!
Kila MTU lazima aseme alivyo hata huyo anayetoa pia anasikilizwa ndo maana likawekwa ili ujue unayempa kitu chako huko vipiYaani mkopo utake wewe,na taratibu ujipangie mwenyewe,,,hakuna mkopo wa hivyo duniani,hata WB tu wanamasharti yao ndo sembuse MTU asiyekufahamu...
Ni nini Dhamana na unataka shilingi ngapi?masharti nitaweka mimi sio wewe!Dhamana IPO