Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,123
Burdan kabisa , najifaidiaUnajifaidia minyama mwenyewe....mashallah!

Mungu ni mwema. Nashukuru nilipata mke Bora na amenisaidia sana kimawazo, kiuchumi, kihisia mana tuna miaka zaidi zaidi ya 15+ pamoja. Tangu ujanani mpaka ukubwani

