Uzi maalumu kwa wapenda singeli

Uzi maalumu kwa wapenda singeli

Singeli sio muziki wz Tanzania Bali ni muziki wa dar, sehemu zingine hawaijui na hawataki kuijua, hata mimi naonaga ni kelele tu halafu full kuigana, lazima kila anayeimba singeli lazima utaskia neno baaria, weka weka weka baariaaaaaa!! Kwangu Mimi ni kero tupu.
Ndo maan unaambiwa hainaga ushamba na mshamba hawezi kuelewa
 
"Kifupi ni kwamba waimba singeli
wameshindwa jua asili ya
singeli,imetoka wap?na kwann
inaitwa singeli...ukisoma fasihi
simulizi,mashairi ni moja ya
tanzu za fasihi simulizi,mashairi
yamegawanyika mara mbili kuna
mashairi ya zamani(yenye vina)
na mashairi ya kisasa(yasio na
vina), kwanini singeli?
kwasababu ktk mashairi ya
zaman wanatumia vina...so kati
ya tungo na mwisho wa tungo
kuna kitu kinaitwa
NGELI..mf..katoka baba
mmoja,toka safari ya
mbali.kavimba yake mapaja na
kutetemeka mwili...hizo ja na li
ndio ngeli(vina) but kwenye
mashair ya kisasa hakuna hvyo
ngeli ndio maana wanaita singeli
yana unazungumzi lolote lile ili
bila kufuata vina ili mradi ilete
maana..huko ndipo asili ya
singeli..ndio maana unaona kama
wanapiga kelele tu bit kwa
wanaojua tunajua wanafanya
nini,all in all kila muziki una
hadhira yake(walengwa) ww
unaweza ona upuuzi kwa
wenzio ikawa tiba,pia naunga na
ww hii ni fursa lazima itumiwe
so watu msiubeze kila muziki
una pakuanzia pakufia hatujui
hata hyo mnaiita bongo flavour
si ilianza hatujui itakufa lini."
[emoji115] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106]
 
Nenda ICU utaikuta, watu wameichoka kila msanii anaimba biti zile zile mashairi yale yale ujumbe ule ule uchezaji ule ule.
hata bongofleva wakati inaanza walisema hivyo hivyo,leo kiko wapi?
 
Tekenya tekenya, prrrrrr tekenya.. Tekenya tekenya, blaki mejiki tekenya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom