Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,117
- 4,781
Vipi,are you clueless of what i am saying?
Bado sijaelewa singeli ninini
Unanirudisha darasa la kiswahili haliingii
Vipi,are you clueless of what i am saying?
utaiweza?
"Kifupi ni kwamba waimba singeli
wameshindwa jua asili ya
singeli,imetoka wap?na kwann
inaitwa singeli...ukisoma fasihi
simulizi,mashairi ni moja ya
tanzu za fasihi simulizi,mashairi
yamegawanyika mara mbili kuna
mashairi ya zamani(yenye vina)
na mashairi ya kisasa(yasio na
vina), kwanini singeli?
kwasababu ktk mashairi ya
zaman wanatumia vina...so kati
ya tungo na mwisho wa tungo
kuna kitu kinaitwa
NGELI..mf..katoka baba
mmoja,toka safari ya
mbali.kavimba yake mapaja na
kutetemeka mwili...hizo ja na li
ndio ngeli(vina) but kwenye
mashair ya kisasa hakuna hvyo
ngeli ndio maana wanaita singeli
yana unazungumzi lolote lile ili
bila kufuata vina ili mradi ilete
maana..huko ndipo asili ya
singeli..ndio maana unaona kama
wanapiga kelele tu bit kwa
wanaojua tunajua wanafanya
nini,all in all kila muziki una
hadhira yake(walengwa) ww
unaweza ona upuuzi kwa
wenzio ikawa tiba,pia naunga na
ww hii ni fursa lazima itumiwe
so watu msiubeze kila muziki
una pakuanzia pakufia hatujui
hata hyo mnaiita bongo flavour
si ilianza hatujui itakufa lini."
Siku hizi hatukimbizi mnyasa kisingeli kikikarbia kuisha inapgwa mczo tia hasara baba niamsha popo simela wahuni full kutia hasara watu nakubar sana shoo mwanzo mwisho ngoma za utini wenaDah
Kinondoni mosco ilikuwa kila siku night lazima singeli ipigwe ,yani mosco bora maji yakatike ila siyo umeme
Kila siku night tupo kwenye show ya singeli
Asikuambie mtu show za singeli tamu achana na za kwenye ukumbi ,za kitaa ndio amsha amsha ,asiyewahi kuhudhuria show ya singeli basi kakosa entertainment moja matata
Wazee wa show show .
DJ duke amsha baba
Sema kwenye hz show uhuni mwingi kama ukiwa mzembe unachukuliwa
Ilikuwa ikifika mwishoni mwa show kwenye tisa usiku inapigwa ngoma ya mnyasa huyo ,kimbiza mnyasa huyo ikifika mda huo shee kaa mbali kama uko pekee yako sabb utaumia Na kuibiwa kila kitu
Kova ndio kaifanya singeli ipotee ,mwanzoni singeli ilikuwa kwenye peak sana tokea apige marufuku vigodoro show za singeli zimepoteza mvuto ,.simela dogo nigga akamtungia nyimbo sumu ya panya
Kova kazingua sana ..nimemmiss sana Moscow kila siku rusha roho,singeli Leo nyumba hii kesho nyumba ile kesho kutwa maskani ile Mara maskani hii ..ikifika tatu usiku unaanza kusikia mlio wa mziki hapo unafuata tu upepo wapi panaposikika mziki..
Top 3 yangu
1.Simela
2.Mczo Morfan "huyu ndio anakimbiza saizi"
3.Dogo kibo
Mwaga maji tucheze kama kambareahahaha,napenda hapo anaposema cheza kikambale
ebu iweke ile ya Dogo Niga "mida ya kubeti"Mguu moja juu weeeeh kifo cha mende ..si ulitaka mwenyewe sasa mbona unalia haina chura dada Leo kifo cha mende. Ukiinuka sawa Leo kifo cha mende ..pale kati kunawatoto me nataka watuwazima....weka wekaaa sholo mwamba geu steel wire mtu hatari.