Uzi maalumu kwa wapenda singeli

Uzi maalumu kwa wapenda singeli

Singeli ni nyimbo zilizotokana na mchanganyiko wa SAUTI za MBWA, MBUZI pamoja na NG'OMBE bila kusahau wanyama wengine wenye sauti mbaya.
 
Siku hizi hatukimbizi mnyasa kisingeli kikikarbia kuisha inapgwa mczo tia hasara baba niamsha popo simela wahuni full kutia hasara watu nakubar sana shoo mwanzo mwisho ngoma za utini wena
Tia hasara mama
Tia hasara tena
Akienda kama anaenda,akirudi kama anaenda
Tia hasara tena

Hilo goma hatari la morfan

Halafu kuna moja ya Pilato hiyo ikipigwa kaa mbali kabisa ase

Chukua kweli mwamba
Usiogope mwamba chukua kweli tena
Mchizi boti Chukua tambo pale

Ukitaka kuona kama kuna watoto wamevurugwa hudhuria singeli
 
Singeli sio muziki wz Tanzania Bali ni muziki wa dar, sehemu zingine hawaijui na hawataki kuijua, hata mimi naonaga ni kelele tu halafu full kuigana, lazima kila anayeimba singeli lazima utaskia neno baaria, weka weka weka baariaaaaaa!! Kwangu Mimi ni kero tupu.
 
nashukuru kwa kuchangia,mkuu!
 
Shollo Mwamba a.k.a Mwamba Geu!
Singeli!
"Oya Shika Ukuta Mwanangu Mwendo wa Singeli"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom