Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,312
- 27,332
Mnatutisha watu wa certificate,Mwanaume haogopi giza mzee
Siogop mzee, me kazi kazi
Mnatutisha watu wa certificate,Mwanaume haogopi giza mzee
Huu uzi unakutanisha wahitimu wa vyuo mbalimballi kujadili masuala tofauti kuhusu taaluma, ajira na kujiajiri.
Njooni tupeane michongo, mawazo na ushauri kuhusu maisha baada ya kumaliza chuo
Toa experience
Toa maoni
Toa mawazo yoyote kuhusu maisha baada ya kuhitimu chuo
.
Majobless tukutane hapa