Haikatai haikatoksi dingiiarusha ni arusha tu asee ...najivunia bigidi boost kwa fasi ya fyade
Niaje mnama, ukwe kwere arifu?Haikatai haikatoksi dingii
ni yechu mamaakeNiaje mnama, ukwe kwere arifu?
Haikatokx babaakeni yechu mamaake
lakini sio mnama arifu
wenyewe wanaita DARISALADEHii sasa sio CHUGA hii ni MASAKI mzee Kitu DASLAM
Swagireee,
Mnama n ndg kwa kichaga kumbe ndio maana watu wanashindwa kuwasoma kwa sababu iyo.ni yechu mamaake
lakini sio mnama arifu
oya hivi kwa nini huwa mnapenda kuvaa mabuti makubwa,kuna chalii za chuga mbili hapa kitaa dah hizo dundo wanazovaa,hatari booonge la kiatu
Kwa Mawazo yako, usifosi tufanane
Nazidere chapenga kwa mkono kama zote,Dingii wataka sema hivi viatu hapo chini ni ya elfu moko?? Acha ziungua jombaa .. Hapa ni laki tatu tatu tatuView attachment 925139