Uzi maalumu kwa picha za Chalii za chuga.

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
12,263
2,000
Mkuu hadi naamua weka Uzi hapa nikutokana na upekee wawatu wa arusha.. Siku moja njoo utue hapa R Chuga ujionee chalii za kushato
Mkuu mimi pia nishaishi Arusha na huwa naenda mara kwa mara.. hizo picha ni za machokoraa bange tupu na sio za wakazi wa Arusha... hata Dar kuna miaka fulani kulikuwa na wahuni wakipendelea kuvaa kihuni kwao sifa
 

TOHATO

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
1,114
2,000
Ni Baadhi tu ya wahuni na wengine ni makanjanja tu hawana pesa so wakienda mitumbani viatu visivyo na wateja hununua kwa bei poa na wao hukomaa tu kuvivaa so
Dingii wataka sema hivi viatu hapo chini ni ya elfu moko?? Acha ziungua jombaa .. Hapa ni laki tatu tatu tatu
44290199_918696614993659_1968049243574689135_n.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom