mafido mwanzo sikumsoma kumbe kuprint ni kutembea kwa miguujamaa wa Ku print
Hapa nafikiri atapewa jina aandike mwenyewe maana muandishi kashindwa"papa mafido"
Chalii ya R naona unafanya mafekeche hainaga kwere jombaaKuna Yule chalii ya R ambae anafanya mafekechenism ya hela yote hapa dar free market, mr. Benefical ana style yake ya inaitwa aliye juu mngoje chini, na hapo chini kuna kutangulia sio kufika dingillai. Naelewa macode ya chugga, ngalimi, kijenge,sakinado,majengo etc. Big up chugganians keep it lit, keep it tight, keep it OG.
Duh kumbe hao ni wavulana wa dar! Cha ajabu na mademu wamepata! Wakizeeka wanakuwa hiviHii sasa sio CHUGA hii ni MASAKI mzee Kitu DASLAM