Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,562
- 7,348
Nafikiri bhangi
Mkuu mimi pia nishaishi Arusha na huwa naenda mara kwa mara.. hizo picha ni za machokoraa bange tupu na sio za wakazi wa Arusha... hata Dar kuna miaka fulani kulikuwa na wahuni wakipendelea kuvaa kihuni kwao sifaMkuu hadi naamua weka Uzi hapa nikutokana na upekee wawatu wa arusha.. Siku moja njoo utue hapa R Chuga ujionee chalii za kushato
Ni Baadhi tu ya wahuni na wengine ni makanjanja tu hawana pesa so wakienda mitumbani viatu visivyo na wateja hununua kwa bei poa na wao hukomaa tu kuvivaa soNi kweli mi nilienda kipindi fulani sijui kwann wanapenda viatu over size.
Hawa ni wavulana wa daani arif! Hizo pigo sio za chuga man!
wacha kufananisha bangi na vitu visivyo na msingimirungi bhange=na kuvaa nguo ka vichaa.
haahahahahwacha kufananisha bangi na vitu visivyo na msingi
Kama wamechorwa
Heshima kama zote kwa Papa mafido, Rezaina(Njiwa) na chaliii zote za Chuga..
Weka li photo lako au li video lako la chuga boy ...
Haaaa haaaa a haaaaWanaume wa Dar wanapata mshtuko kwa kuona hivi vyuma vya mkoani!
Dingii wataka sema hivi viatu hapo chini ni ya elfu moko?? Acha ziungua jombaa .. Hapa ni laki tatu tatu tatuNi Baadhi tu ya wahuni na wengine ni makanjanja tu hawana pesa so wakienda mitumbani viatu visivyo na wateja hununua kwa bei poa na wao hukomaa tu kuvivaa so
Mtazamo wako tuu ila kiukweli mpo kibush sana au mpo na ng'ombe hapoUnatafutwa na makonda nini???