Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Tunavyoelekea kwenye uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya vyama vya siasa nchini vimefungua dirisha kwa wanachama wao kutia nia kugombea nafasi za ubunge.
Uzi huu utakusogezea wananchi wanaotia nia kugombea nafasi ya Ubunge na watakaopitishwa na vyama vyao kugombea nafasi hiyo.
Juni 2025
Uzi huu utakusogezea wananchi wanaotia nia kugombea nafasi ya Ubunge na watakaopitishwa na vyama vyao kugombea nafasi hiyo.
Juni 2025
- Mchungaji Peter Msigwa achukua Fomu kugombea Jimbo la Iringa Mjini kupitia CCM
- Ester Bulaya aliyekuwa CHADEMA atimkia CCM, achukua fomu ya Ubunge Bunda Mjini
- Jesca Magufuli achukua fomu ubunge viti maalum
- Balozi Mulamula achukua fomu ubunge viti maalum
- Mkuwe Isale (Mamy Baby) achukua fomu ya kugombea Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora
- Rais wa Yanga, Injinia Hersi achukua fomu ya kuomba kuwania ubunge Kigamboni
- Mwalimu wa shule ya msingi, Furaha Nemela atia nia Ubunge, Masasi
- Daniel Chongolo ajitosa jimbo la Makambako
- Fadhili Ngajilo achukua fomu ya ubunge Iringa Mjini kupitia CCM
- Lazaro Nyalandu arejea ulingoni tena, achuku fomu jimbo la Ilongero, Singida
- Jerry Silaa achukua Fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga
- Kulwa Biteko achukua Fomu ya Kugombea Ubunge Katoro
- Makamu wa Rais Yanga, Arafat Haji, achukua fomu ya Kugombea Ubunge jimbo la Shauri Moyo
- Makonda achukua rasmi fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Arusha Mjini
- Pre GE2025 - Richard Kasesela achukua fomu ya Ubunge Rungwe, Mbeya
- Pre GE2025 - Mshauri wa Rais, Dkt. Fabian Madele achukua fomu Dodoma Mjini
- Pre GE2025 - Kada wa CCM Elias Mdao achukua fomu kuwani Ubunge jimbo la Kongwa
- Pre GE2025 - Wananchi Uyole wamchukulia fomu Dkt. Tulia Ackson kugombea Ubunge
- Pre GE2025 - Mwandishi wa habari Adam Malima achukua fomu ya Ubunge Mpwapwa kupitia CCM
- Pre GE2025 - Antony Mavunde achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Mtumba
- Pre GE2025 - Kada wa CCM Aloyce Mwenda achukua fomu ya kuomba ridhaa jimbo la Lupembe
- Pre GE2025 - Lazaro Nyalandu arejea ulingoni tena, achuku fomu jimbo la Ilongero, Singida
- Pre GE2025 - Fadhili Ngajilo achukua fomu ya ubunge Iringa Mjini kupitia CCM
- Pre GE2025 - Mhandisi Robert Gabriel achukua fomu kugombe ubunge Geita Mjini
- Pre GE2025 - Jesca Magufuli achukua fomu ubunge viti maalum ( Jesca Magufuli, Viti Maalum)
- Pre GE2025 - Balozi Mulamula achukua fomu ubunge viti maalum (Liberata Mulamula, Viti Maaalumu)
- Pre GE2025 - DSM - Shaban Nkunya ahukua fomu jimbo la Kawe kupitia CCM
- Pre GE2025 - Aliyekuwa Katibu wa JPM, Ngussa Samike ajitosa kuwania ubunge jimbo la Sengerema
- Pre GE2025 - Jackline Isaro, amechukua fomu ya Kugombea Udiwani Kata ya Ngokolo, Shinyanga
- Pre GE2025 - Jackline Isaro, amechukua fomu ya Kugombea Udiwani Kata ya Ngokolo, Shinyanga
- Pre GE2025 - Ahmed Shabiby ambaye anamaliza muda wake amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Gairo
- Pre GE2025 - DSM - Abuubakari Ally (Boka) amejitokeza kuomba ridhaa jimbo la Kigamboni
- Pre GE2025 - Prof. Mkenda aitaka Rombo tena, achukua fomu kupitia CCM
- Pre GE2025 - Kinje achukua fomu kugombea ubunge Kilwa Kaskazini
- Pre GE2025 - Kennedy Mmari achukua fomu ya ubunge Siha, Kilimanjaro
- Pre GE2025 - Dkt. David Mathayo anayemalizia ubunge wake jimbo la Same Magharibi achukua fomu tena
- Pre GE2025 - Deusdedith Katwale amechukua fomu ya kugombea ubunge Chato Kusini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)
- Pre GE2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Morris Makoi, amechukua Fomu ya Ubunge wa Jimbo la Mosh Vijijini
- Pre GE2025 - Evance Kamenge atia nia Jimbo la Misenyi, Kagera
- Pre GE2025 - John Jilili amechukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Solwa, Shinyanga kupitia CCM
- Pre GE2025 - Mwinshehe Adam Yange Mwenyekiti UVCCM Morogoro achukua fomu ya jimbo la Morogoro Mjini
- Pre GE2025 - Aliyekuwa DED Mbeya ,John John Nchimbi ajitosa Ubunge jimbo la Nyasa kupitia CCM
- Pre GE2025 - Mawazo ngwelenje amejitosa katika mbio za Ubunge wa jimbo la Liwale Mkoani Lindi, kupitia CCM
- Pre GE2025 - Geofrey Timoth amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
- Pre GE2025 - Fortunatus Muhalila amechukua fomu ya kugombea ubunge Muleba Kaskazini, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
- Pre GE2025 - Aliyekuwa DC Kilolo, Asia Abdallah amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma kupitia CCM
- Pre GE2025 - Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM
- Pre GE2025 - Mwijaku ajitosa ubunge jimbo la Mvomero kwa tiketi ya CCM
- Pre GE2025 - ARU - Mtanange wa jimbo la Arusha Mjini utakuwa wa aina yake, Mrisho Gambo naye achukua fomu
- Pre GE2025 - Dkt. Doto Biteko aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bukombe amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kutetea Ubunge katika Jimbo la Bukombe
- Pre GE2025 - Gamariel Mboya achukua fomu kuwania ubunge jimbo la Kigamboni
- Pre GE2025 - Mhandisi Edson Ngabo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) kuteuliwa kuwania nafasi ya ubunge Jimbo la Ileje
- Pre GE2025 - DSM - Dkt. Walter Rishaeli Nnko achukua fomu kuwania ubunge jimbo la Kibamba kupitia CCM
- Pre GE2025 - Salha Mwinjuma Achukua Fomu ya Uwakilishi Viti Maalum Kundi la Vijana, Unguja
- Pre GE2025 - Sophia Mwakagenda ajitosa kuomba ridhaa jimbo la Rungwe kupitia CCM
- Pre GE2025 - Nicolaus Chichake amechukua kuomba ridhaa kwa Jimbo la Tarime Vijijini Mkoani Mara
- Daud Ngassa, ajitosa mbio za ubunge wa Jimbo la Urambo
- Sara Msafiri achukua fomu ya ubunge jimbo la Mvomero
- Pili Hassan Moshi atia nia ya udiwani wa Viti Maalum Wilaya ya Dodoma Mjini
- Neema Lugangira achukua fomu ubunge viti maalum NGo
- Adamson Mwakasaka: Tabora imeitwa Toronto kwa sababu yangu
- Raphia Ally Kimaro, kuwania Ubunge wa Viti Maalum vya Wanawake mkoa wa Dodoma
- Emmanuel Mwakasaka kuwania tena ubunge jimbo la Tabora Mjini
- CDE CDE Samira Khalfan Amour achukua fomu ubunge wa viti maalum Kagera
- Injinia Germano Ngusa atinga na baiskeli kuchukua fomu ya ubunge Jimbo la Nzega Vijijini
- Kada wa CCM Elias Mdao achukua fomu kuwani Ubunge jimbo la Kongw