kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,863
- 3,099
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Shenzy kabisa hahahahahaaaaaaaaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Shenzy kabisa hahahahahaaaaaaaaa
Black beauty mkuuhuyo tulia ebu muondoe haraka anaharibu safu.
Halafu kwa mbali Kama kafanana na mkuuShenzy kabisa hahahahahaaaaaaaaa
Hivi Anne makinda nikweli alizaa na dereva wake?Nitakukumbuka sanaView attachment 974096
TuliaaaaaView attachment 972409
Wa kwanza kulia sio Fatma karume a.k.a shangazi?
?Ooh yeah 92kj hiyo, ukiona mzee Kama huyo cdo af komando ujue noma
Mkuu ni yupi pale?Huyo mmoja ni komando .... komandoo huwa nawakubali sanaaa...
Huyo mwenye beret ya damu ya mzee mkuuMkuu ni yupi pale?
Shukrani mkuuHuyo mwenye beret ya damu ya mzee mkuu
sahihi kabisa kwa tanzania RED BERET inatumiwa na KJ 92Huyo mmoja ni komando .... komandoo huwa nawakubali sanaaa...
RED BERET....ukishaona mjeda ana red beret ujue huyo ni KJ 92Yupi mzee jojoo?
Sio red mkuu, Ni damu ya mzee. Red inatumiwa na Military police (MP)RED BERET....ukishaona mjeda ana red beret ujue huyo ni KJ 92
mwenye red beret ni komando hatariKatika serikali, kuna viongozi ambao kwa kweli wako sexy, hebu post hapa kiongozi unaemkubali, mi naanza na wangu..View attachment 972401