Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,554
- 7,386
Mh!
Hapo sijaona kiongozi ila nimeona mteule mmoja na watumishi watatuKatika serikali, kuna viongozi ambao kwa kweli wako sexy, hebu post hapa kiongozi unaemkubali, mi naanza na wangu..View attachment 972401
Huyu mzuri kuanzia kifuani kushuka chini huko juu bhana....TuliaaaaaView attachment 972409
Ebu jirushie vizuri tukuone hapo unaonekana kama unajiandaa kupenga kamasiMbona hata mimi ni kisu jamani! Au mnanionaje.
Hivi huyu wa chini baba kegan alimwachaga kweli..
watu watakuwa wamehangaika sana kutafuta sehemu ku-unlike. Wamekosa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kama huyu nae ni kisu basi bora huu uzi uitwe 'uzi wa viongozi visu butu'
Sijaelewa mnaposema kisu mnamaanisha uzuri au ubaya!!?TuliaaaaaView attachment 972409
Duuuh.....! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TuliaaaaaView attachment 972409
Mi mwenyewe nusu niandike ambacho kingenipa bani.watu watakuwa wamehangaika sana kutafuta sehemu ku-unlike. Wamekosa.
Mshindwe
Namuelewa sana huyu mamaMama wa makinikiaView attachment 974099
Enzi za ujana, wake alikuwa kisuNitakukumbuka sanaView attachment 974096
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]mweKama huyu nae ni kisu basi bora huu uzi uitwe 'uzi wa viongozi visu butu'
HahahahahaEbu jirushie vizuri tukuone hapo unaonekana kama unajiandaa kupenga kamasi
HahahaHiyo picha halisi au sanamu?
Hamzidi tibaijuka mzee wa kupanuaEnzi za ujana, wake alikuwa kisu