Uzi maalum wa kutoa matokeo ya mchakato wa kuteua mgombea ubunge wa CCM kwa kila jimbo.

Uzi maalum wa kutoa matokeo ya mchakato wa kuteua mgombea ubunge wa CCM kwa kila jimbo.

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
5,149
Reaction score
14,488
Ni vyema JamiiForums wakatoa updates hapa ili mambo yote yawe kwenye sufuria moja. Sina updates za uhakika mpaka sasa
 
kwa ufupi ni kwamba nchi yote inafuraha na wananchi wameamua chama tawala kishike hatamu kila kona kuanzia ngazi ya familia ndugu

ni jambo jema kwa maendeleo ya taifa kote nchini wamegundua ili kusonga mbele ni kwenda na CCM
 
Back
Top Bottom