M Z A N Z I B A R I
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 21,697
- 117,135
Kwema kabisa ningendako... mambo fresh kabisa.Ha ha ha sana aisee,
Kwema Prof?habari za masiku?pole na majukumu,hope mambo yapo safi pia
Mtaka nyingi Nasaba upata mwingi msiba hapa anazungumziwa mtu mwenye tamaa ya vitu vingi kwa wakati mmoja. Hii methali inaendana na mshika mawili moja humponyoka.Hivi hii methali ina maana gani hasa?
Najaribu emoji hapo.
Huo dogo dah mwaka huo nilikua nshamaliza vidato vyoooteeee
Hawataki wachumba hao, Kuna mwenzao anaitwa ningendako huwa hataki kujionyesha umri mana anamipango kikubwa humu ndani
Jamaa flani hivi,alikuwa Illimatrix na kina songa,one incridible,,sikuwahi kumsikia katoa ngoma yake yy kama mwenyewe,ila jamaa huwa na flow nzuri sana,huchoki kumsikilizaHuyu Six O'clock ndio nani mzee mwenzangu?
Thanks bro.Basi nasaba ni kama undugu
Marahabeeerrr,hujambowShikamoo Prisca
Ok safi Pyaar!!Kwema kabisa ningendako... mambo fresh kabisa.