Uzi maalum wa kupeana connection za kazi za udereva popote Tanzania

Habari za muda huu wadau

Dhumuni la kuanzisha uzi huu ni kusaidiana kupeana connection za maswala ya kazi za udereva wa magari ya aina zote kuanzia Uber, madereva binafsi pamoja na magari makubwa.

Kwa connection mbalimbali, ushauri na maelekezo binafsi karibuni wadau

Au kama kuna group la madereva tujoin tuwe tunapeana updates

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za muda huu wadau

Dhumuni la kuanzisha uzi huu ni kusaidiana kupeana connection za maswala ya kazi za udereva wa magari ya aina zote kuanzia Uber, madereva binafsi pamoja na magari makubwa.

Kwa connection mbalimbali, ushauri na maelekezo binafsi karibuni wadau
Transcargo wanataka madreva. Vigezo muhimu ni kubwa use na passport inayoonesha umeingia DRC mara kadhaa pia use.
 
Natafuta kazi Mwenye connection ya gari au bajaji naomba anisaidie namba 0764254637,0679297897
 
Kulikuwa na group la madereva humu likapelekwa had whatsApp sijui kama bado lipo nilipataga kazi kupitia lile group,, ila nikaja kupoteza simu.
 
Back
Top Bottom