Uzi maalum wa kuombana HELA

Naombeni buku wakuu, nimepika ugali, hela ya mboga sina....
imethibitishwa umepokea Tsh103 ya kununulia mboga ulie ugali
hongera kwa kutumia jf

mkuu hicho hicho kidogo tunasaidiana si unajua hali yenyewe hii ya sasa vyuma vimekaza sasa huenda ikakusaidia hiyo pesa ukapata mboga

ila kwa ushauri mwingine kama kuna unga kidogo ni heri upike kaugali kadogo uweke kwenye bakuri ufanye mboga
 
Au apike uji ale ugali kwa uji ni mboga nzuri sana
 
Back
Top Bottom