Uzi maalum: Vitendawili, methali na nahau

Iyegu

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
6,281
2,000
Habari zenu wajumbe?

Ndugu wajumbe,

Karibuni kwenye huu uzi maalumu wa kukumbuka vitendawili vya shuleni na kutega huku wengine wakitegua kuanzisha na wengine kumalizia methali pamoja na kutoa maana za nahau mbalimbali.Naanza:
Nahau: Amevaa miwani....
 

kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
16,044
2,000
Habari zenu wajumbe?
Ndugu wajumbe,karibuni kwenye huu uzi maalumu wa kukumbuka vitendawili vya shuleni na kutega huku wengne wakitegua....kuanzisha na wengne kumalizia methali pamoja na kutoa maana za nahau mbalimbali...Naanza:
Nahau:Amevaa miwani....
NAMALIZA

AMEVAA MIWANI NI KITWANGA AMELEWA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom