Uzi Maalum kwa wanaouza na wanaohitaji kununua Ardhi

Nauza kiwanja miguu 22*20 kipo mabwepande center,mtaa umejengeka sana.Barabara,umeme na maji vipo mpaka kiwanjani.Bei ni 7,200,000.Mmiliki ni mimi mwenyewe.Tuwasiliane 0714-796778 au 0654-136369 au whatsapp 0628-615685.
 
Naomba utoe vipimo kamili vya eneo hilo in sqm. Sasa hiyo miguu 22*20 ni ya Hashim Thabiti au niya Tausi
 
Amani kwenu wadau,

Viwanja vya makazi vyenye ukubwa wa M.40x30 vinauzwa maeneo ya Kibaha Kwa Mfipa - Simbani, karibu na kituo cha kulelea watoto yatima cha mama Anna Mkapa.

Ni eneo zuri kwa ujenzi wa makazi na ni tambarare halihitaji kuchongwa, na pia barabara ya kuingia kwenye kila kiwanja inapatikana, umeme na maji vipo jirani.

Umbali kutoka kwenye barabara kuu iendayo Morogoro ni km 3.

Bei kwa kila kiwanja chenye ukubwa wa M. 40 x 30 ni milioni 7

maongezi yapo kwa anayehitaji punguzo.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hizi: 0766 621600, 0625 918961

Karibuni sana.
 
Morogoro Kingolwira kuna jirani yangu anauza kiwanja sh million 4 hakijapimwa kina banda lililoezekwa nauguliwa na mke anarudi kwao ni eneo zuri sana karibu na star city
 
Mimi pia nauza shamba limepimwa ni eka 50 lipo mvomero unaingilia ofisi za mkuu wa wilaya bei milion 15 tu
 
Kiwanja kikiwa na Nyumba kinauzwa,kipo Maeneo ya Msasani ufukweni kabisa....kinafaa kwa Makazi pia Hotel.... Ni Sqm 14920 bei maelewano pindi uonapo Eneo.....
0715-011022
Bei weka wazi hapa..soma mwanzoni mwa mada hii
 
Amani kwenu wadau,

Viwanja vya makazi vyenye ukubwa wa M.40x30 vinauzwa maeneo ya Kibaha Kwa Mfipa - Simbani, karibu na kituo cha kulelea watoto yatima cha mama Anna Mkapa.

Ni eneo zuri kwa ujenzi wa makazi na ni tambarare halihitaji kuchongwa, na pia barabara ya kuingia kwenye kila kiwanja inapatikana, umeme na maji vipo jirani.

Umbali kutoka kwenye barabara kuu iendayo Morogoro ni km 3.

Bei kwa kila kiwanja chenye ukubwa wa M. 40 x 30 ni milioni 7

maongezi yapo kwa anayehitaji punguzo.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hizi: 0766 621600, 0625 918961

Karibuni sana.
 
Hii ni thread maalum kwa wadau wote wanaouza maeneo sehemu mbali mbali hapa Tanzania, na pia kwa wadau wote wanaohitaji kununua maeneo.. [HASHTAG]#SellersMeetsBuyers[/HASHTAG]

Kama unauza eneo lako tiririka mama ifuatavyo:
  • Ukubwa wa eneo hilo
  • Mahali eneo hilo lilipo
  • Sifa za eneo hilo (Limepimwa au Halijapimwa)
  • Bei ya eneo hilo
Na kwa anayehitaji kununua pia atoe maelezo yake.
Karibuni
Dalaliii
 
Hallo

Anayetaka Kiwanja sehemu ambayo ishachangamka tayari(Maji na Umeme)
Huitaji hata Nguzo ya Umeme.

Unaweza kujenga na kuhamia leo leo bila ya kusubiria Huduma hizo muhimu kwa Maisha ya Mwanadam.

Maeneo: Kitunda Magole na Chanika Mjini(Videte)

Kitunda: Bei: 6.5m
*Size*: 50ft X 50ft

Chanika: Bei: 4.5M
*Size*: 50Ft X 50Ft

Buyuni Ilala: Bei: 32M
*Size*: Sqmtr 1111

Buyuni Ilala: Bei: 40M
*Size*: Sqmt 1040

Buyuni Ilala: Bei: 15M
*Size*: Sqmt 706

Call: 0715-240140

*Karibuni*
Mkuu naomba viwanja vilivyo katika vipimo vya ft uweke katika mita wengne ft hatukipatii picha vizuri tafadhali
 
Back
Top Bottom