Azizi Walter
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 221
- 139
Wakuu habari, kwa wale wanaojikusanya na kuanza maisha au kwa wanaojiendeleza kwa kununua sehemu mbali mbali za ardhi, basi nawaletea tangazo hili la kuuzwa eneo lenye ukubwa wa 20 kwa 40 kwa bei ya shiling milion 6 eneo lipo kibaha kwa mfipa (simbani) ni pazuri sana unaweza kutembea kwa mguu kwa maana sio mbali na barabarani au boda boda ni 1000 tu pia umeme na maji vimeshafika
Karibuni sana kwa mawasiliano zaidi 0692402562
Karibuni sana kwa mawasiliano zaidi 0692402562