Uzi Maalum kwa wanaouza na wanaohitaji kununua Ardhi

Amani kwenu wadau,

Viwanja vya makazi vyenye ukubwa wa M.40x30 vinauzwa maeneo ya Kibaha Kwa Mfipa - Simbani, karibu na kituo cha kulelea watoto yatima cha mama Anna Mkapa.

Ni eneo zuri kwa ujenzi wa makazi na ni tambarare halihitaji kuchongwa, na pia barabara ya kuingia kwenye kila kiwanja inapatikana, umeme na maji vipo jirani.

Umbali kutoka kwenye barabara kuu iendayo Morogoro ni km 3.

Bei kwa kila kiwanja chenye ukubwa wa M. 40 x 30 ni milioni 7

maongezi yapo kwa anayehitaji punguzo.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hizi: 0766 621600, 0625 918961

Karibuni sana.
 
20*20 1. 5mil - 2mil
2M ndo bei nilionunulia 2014..Now nimeamua kuuza 3.5 each..fixed price..kwa anaechukua vyote kwa pamoja maongezi yapo.Ni majumba 6 Homboza-chanika-Dar es Salaam
 
Site ya Kujenga Mnara wa simu(available for LEASE) Iko na Grid Kubwa ya Umeme(High T. Power)

Pia kuna Transformer papo hapo kwenye Site.

Utakuwa umeokoa gharama za kujenga line Kubwa kwa ajili ya Ku-service Mnara.

Site iko na Ukubwa wa Sqmtr: 1200 with a title deed.

Site iko Ilala Buyuni, Chanika.

Kwa Maelezo zaidi,
tuwasiliane

0715-240140

Rent: Maelewano.

Picha zinapatikana kwa Whatsapp.

Karibuni.
 
Kitunda Magole(Kiwanja)

Kitunda Magole, near Mwanagati. Umeme na Maji hapo hapo.
50Ft X 50Ft. Pamepimwa Kienyeji kwa Mpangilio Mzur kwa Makazi bora.

8.6Kms from Banana.
18.9Kms from Clock Tower.

Bei: 6.5M
Mazungumzo yapo.

Contact: 0715-240140
 
Site ya Kujenga Mnara wa simu(available for LEASE) Iko na Grid Kubwa ya Umeme(High T. Power)

Pia kuna Transformer papo hapo kwenye Site.

Utakuwa umeokoa gharama za kujenga line Kubwa kwa ajili ya Ku-service Mnara.

Site iko na Ukubwa wa Sqmtr: 1200 with a title deed.

Site iko Ilala Buyuni, Chanika.

Kwa Maelezo zaidi,
tuwasiliane

0715-240140

Rent: Maelewano.

Picha zinapatikana kwa Whatsapp.

Karibuni.
Buyuni tayari kuna minara kibao, uza kama makazi tu
 
Hallo

Anayetaka Kiwanja sehemu ambayo ishachangamka tayari(Maji na Umeme)
Huitaji hata Nguzo ya Umeme.

Unaweza kujenga na kuhamia leo leo bila ya kusubiria Huduma hizo muhimu kwa Maisha ya Mwanadam.

Maeneo: Kitunda Magole na Chanika Mjini(Videte)

Kitunda: Bei: 6.5m
*Size*: 50ft X 50ft

Chanika: Bei: 4.5M
*Size*: 50Ft X 50Ft

Buyuni Ilala: Bei: 32M
*Size*: Sqmtr 1111

Buyuni Ilala: Bei: 40M
*Size*: Sqmt 1040

Buyuni Ilala: Bei: 15M
*Size*: Sqmt 706

Call: 0715-240140

*Karibuni*
 
Una elimu finyu sana ya Marketing.

Yaani ushindwe kupenyeza bidhaa zako sokoni kisa tu kuna bidhaa nyingi kama hizo zako mtaani!?

Basi usinge tahiriwa kisa tu wanaume wengi wamekwisha tahiriwa. That's what you mean, right!?
Nimeongea kutokana na experience yangu, mnara si kama mihogo unapanda tu sehemu yeyote!!! Ingekua kama zamani kila kampuni inajijengea mnara basi ingelikua rahisi kupata mteja, ila kwa sasa ni kampuni moja tu ndio ujenga minara hasa kwa hapa mjini, nayo ina minara kama miwili mitatu pale buyuni kuanzia zavara na maeneo mawili ya buyuni....
Kwa sasa nina uhakika hamna tatzo la coverage kwa minara iliyopo ndio maana nikamshauri auze kama kiwanja cha makazi au vinginevyo.....

Kama uniamini nenda pale HTT (Helios tower) masaki kwenye jengo la coco plaza na apeleke maombi yake....
Nadhani umenielewa mr. Great sinker
 
Nauza kiwanja mali yangu hakuna udalali

Ukubwa wa eneo hilo: 1,159sqm

Mahali eneo hilo lilipo: Himo njiapanda- Moshi

Sifa za eneo hilo: Kimepimwa, maji, Umeme viko jirani mno ya kiwanja. Meter 700 kutoka mizani mpya/highway njiapanda to Mwanga. Panafaa kwa matumizi ya biashara au makazi.

Bei ya eneo hilo: 35Mln

Karibuni kwa wahitaji

No yangu 0622203002
 
Nauza Kiwanja - Kina Hati Safi Kabisa.

Eneo: Kibada Kwa Mwalimu Kigamboni Dar Es Salaam
Ukubwa: SqrMeter 1085
Bei: Milioni 65 Pungufu Kidogo tunaongea
Umeme, Maji na vinginevyo Vyote Vipo.
Kiwanja kimezungukwa na Nyumba tayari Pande tatu.
Kipo Barabarani.

Mawasiliano 0712 390 200
 
Viwanja viwili vipo buyuni chanika Block 28
1. Sqm 595 tshs 20mil..
2. Sqm 1065 tshs 27mil

Vyote vinahati
 
Amani kwenu wadau,

Viwanja vya makazi vyenye ukubwa wa M.40x30 vinauzwa maeneo ya Kibaha Kwa Mfipa - Simbani, karibu na kituo cha kulelea watoto yatima cha mama Anna Mkapa.

Ni eneo zuri kwa ujenzi wa makazi na ni tambarare halihitaji kuchongwa, na pia barabara ya kuingia kwenye kila kiwanja inapatikana, umeme na maji vipo jirani.

Umbali kutoka kwenye barabara kuu iendayo Morogoro ni km 3. Bei kwa kila kiwanja chenye ukubwa wa M. 40 x 30 ni milioni 7 maongezi yapo kwa anayehitaji punguzo.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hizi: 0766 621600, 0625 918961

Karibuni sana.
 
Una elimu finyu sana ya Marketing.

Yaani ushindwe kupenyeza bidhaa zako sokoni kisa tu kuna bidhaa nyingi kama hizo zako mtaani!?

Basi usinge tahiriwa kisa tu wanaume wengi wamekwisha tahiriwa. That's what you mean, right!?
Fact.
 
Nauza viwanja kigamboni
kibada block 11

square meter 1500 65 Million
Square meter 2400 98 Millio
Vina hati.
 
Nauza kiwanja mali yangu hakuna udalali

Ukubwa wa eneo hilo: hatua 25 kwa 30

Mahali eneo hilo lilipo: Kivule

Sifa za eneo hilo: Hakijapimwa bado, ila maji yapo, Umeme upo jirani mno ya kiwanja. Panafaa kwa matumizi ya biashara au makazi.

Bei ya eneo hilo: 10Mln kwani ina nyumba tayari mazungumzo yapo

Karibuni kwa wahitaji
 
Kiwanja kikiwa na Nyumba kinauzwa,kipo Maeneo ya Msasani ufukweni kabisa....kinafaa kwa Makazi pia Hotel.... Ni Sqm 14920 bei maelewano pindi uonapo Eneo.....
0715-011022
 
Back
Top Bottom