Uzi maalum Kwa watumiaji wa Yowhatsapp (special thread)

ina nini cha zaidi
Ina nini cha ziada?

Ina opption ambazo hazipo kwenye gb whatsapp na gb haitakaaa iwe na options kama hizo mfano fingerprint scanner,titanium backup(like),pia unaweza soma txt na isirudishe blue tixks mpaka u reply,kudownload status,kuchagua mtu ambaye unataka aone status zako ,kuficha mtu asijue kama umeangalia status yake,ina 10 types of emojis variants,na options nyingine nyiiingi ambazo siezi zitaja nikazimaliza hapa cha msingi nenda kwa tovuti yake uicheki
 
Yangu insema not installed
An existing package by the same name with confticting signature is alredy installed
 
yah! Unachosema ni kweli Yowhatsapp iko poa sana

Mbona sioni settings za kubadilisha theme, ku-lock app kwa fingerprint, ku-freeze online/offline status, nikitaka ku-hide second tick inaleta warning kuwa msgz zitachelewa kuingia etc.

Kuna features nyingi tu sizioni kama mtu akiwa online hainioneshi kama flani yupo online and so on. Wakati kwenye gbwhatsapp hizo features zipo wazi tu.

Hebu nipe maelekezo vizuri kijana coz nine-install zaidi ya mara 3 still iko vile vile jombaa. Thanks.
 
Subiri mwenye uzi aje
 
Subiri mwenye uzi aje

Mi naona kama GBW iko vizuri kwa features zilizopo kuliko hii YOW coz nime-download kwa link alizoweka jamaa na hata kwa sites nyingine ila naona haifanyi vizuri kwangu kama GBW.

Okay, let me wait and see.
 
Karibu GB, ndo top iko powa sana
 
Niliinstal baada ya muda naona majina ya watu yamejibadili. Juma karanga inakua asha bakari. Nikaifutilia mbali. Japo nilipenda features zake kama kuficha notification ya kuangalia status na second tick Hadi ureply
 
Mbona sioni settings za kubadilisha theme,
Bofya dot 3 juu kulia ->>Yomods ->>Yotheme ->>DownloadYotheme hapa utakuta themes za kumwaga zaidi ya theme 3200 unachagua unayopenda kisha una download then inabadilika tu faster
Na kama unataka kuweza theme zako mwenyewe unaweka tu hiyo option ipo pia
4b6a0726c2b60233661ba7a566039b5e.jpg

90940601b2640615bf45bc97d4924975.jpg

fd1ae1250351def4e99512fb7847df14.jpg

ku-lock app kwa fingerprint,
kwanza simu yako lazma iwe ina support finger print kisha bofya dot 3 nenda>>yomods kisha namba 6.password kisha weka tiki kwenye whatsapp lock halaf utaona option ya finger print
d64a3c91ace83915e72e2bf15fcadc34.jpg

1dd8e333300a0cd55dbb2d4cae0d07a0.jpg

ku-freeze online/offline status,
Kufreeze bofya dot 3 kisha nenda
Privacy hapo utakuta kila kitu
de1c4432fd3d806bc2ca7c6dc778584f.jpg

9509619fa1bc5383d33b4f0d6c53e5c7.jpg

nikitaka ku-hide second tick inaleta warning kuwa msgz zitachelewa kuingia etc.
hiyo warning isikutishe
Mimi nime hide na kila kitu kipo ok
2077ba7046852bf0c757de6677b966c7.jpg

Kuna features nyingi tu sizioni kama mtu akiwa online hainioneshi kama flani yupo online and so on. Wakati kwenye gbwhatsapp hizo features zipo wazi tu.Hebu nipe maelekezo vizuri kijana coz nine-install zaidi ya mara 3 still iko vile vile jombaa. Thanks.
Kutokuona baadhi ya features haimaanishi kwamba hazipo labda ni ugeni wako tu ila kwa sisi tulio zoea kila kitu kipo wazi
Kabisa
 
Niliinstal baada ya muda naona majina ya watu yamejibadili. Juma karanga inakua asha bakari. Nikaifutilia mbali. Japo nilipenda features zake kama kuficha notification ya kuangalia status na second tick Hadi ureply
hahahaha pole sana hiyo simu yako itakuwa imeisha muda wake wa matumizi sema haujui tu
 
Bofya dot 3 juu kulia ->>Yomods ->>Yotheme ->>DownloadYotheme hapa utakuta themes za kumwaga zaidi ya theme 3200 unachagua unayopenda kisha una download then inabadilika tu faster
Na kama unataka kuweza theme zako mwenyewe unaweka tu hiyo option ipo pia
4b6a0726c2b60233661ba7a566039b5e.jpg

90940601b2640615bf45bc97d4924975.jpg

fd1ae1250351def4e99512fb7847df14.jpg

kwanza simu yako lazma iwe ina support finger print kisha bofya dot 3 nenda>>yomods kisha namba 6.password kisha weka tiki kwenye whatsapp lock halaf utaona option ya finger print
d64a3c91ace83915e72e2bf15fcadc34.jpg

1dd8e333300a0cd55dbb2d4cae0d07a0.jpg

Kufreeze bofya dot 3 kisha nenda
Privacy hapo utakuta kila kitu
de1c4432fd3d806bc2ca7c6dc778584f.jpg

9509619fa1bc5383d33b4f0d6c53e5c7.jpg

hiyo warning isikutishe
Mimi nime hide na kila kitu kipo ok
2077ba7046852bf0c757de6677b966c7.jpg

Kutokuona baadhi ya features haimaanishi kwamba hazipo labda ni ugeni wako tu ila kwa sisi tulio zoea kila kitu kipo wazi
Kabisa
Nimebofya hizo dot 3 nikabofya Yomods kilichotokea ni hiki hapa chini aseee. Yosettings.

19583a2a050ebb4a7344396f8903205a.jpg
 
hahahaha pole sana hiyo simu yako itakuwa imeisha muda wake wa matumizi sema haujui tu

Hahahahaaa wee jamaa bhana.

Haya, nielekeze contact online toast sijaiona kama kwenye GB mkuu.

Halaf pia naulizia tu naweza kuongeza font size kwa YOWhatsapp kiongozi...?

Thanks.
 
Bofya dot 3 juu kulia ->>Yomods ->>Yotheme ->>DownloadYotheme hapa utakuta themes za kumwaga zaidi ya theme 3200 unachagua unayopenda kisha una download then inabadilika tu faster
Na kama unataka kuweza theme zako mwenyewe unaweka tu hiyo option ipo pia
4b6a0726c2b60233661ba7a566039b5e.jpg

90940601b2640615bf45bc97d4924975.jpg

fd1ae1250351def4e99512fb7847df14.jpg

kwanza simu yako lazma iwe ina support finger print kisha bofya dot 3 nenda>>yomods kisha namba 6.password kisha weka tiki kwenye whatsapp lock halaf utaona option ya finger print
d64a3c91ace83915e72e2bf15fcadc34.jpg

1dd8e333300a0cd55dbb2d4cae0d07a0.jpg

Kufreeze bofya dot 3 kisha nenda
Privacy hapo utakuta kila kitu
de1c4432fd3d806bc2ca7c6dc778584f.jpg

9509619fa1bc5383d33b4f0d6c53e5c7.jpg

hiyo warning isikutishe
Mimi nime hide na kila kitu kipo ok
2077ba7046852bf0c757de6677b966c7.jpg

Kutokuona baadhi ya features haimaanishi kwamba hazipo labda ni ugeni wako tu ila kwa sisi tulio zoea kila kitu kipo wazi
Kabisa

Niliweka Privacy Only baada ya kuondoa ndio zikaja hizo features nyingine kama Themes etc.

Nahitaji contact online toast na font size iongezeke kidogo mkuu. Help.
 
kuongeza font size nenda kwenye yomods>>kisha utachagua home screen au conversation screen
2 .home screen >> 2.3 mods >>2.3.4 main/call/contact/screen text size utaongeza hapo
3 .conversation screen >>3.3 mods>>3.3.8 message txt size utaongeza hapo

sema hapo kwenye contact online toast sijakusoma fresh hebu elezea zaidi
 
Contact Online Toast kwenye GBwhatsapp inakuonesha mtu akiwa Online tu kinatokea kwa juu ya screen hata kama hauchat nae.

Yoyote akiingia online unajua kuwa yupo online sio mpaka ufungue chat zake ndio ujue yupo online yenyewe inakuonesha wote waliopo online hata kama unabadili profile picture mkuu.

ab0bf4d2d2b39b65083d8b2dd55f5af7.jpg

Na kama ukiangalia vizuri hapo juu kwenye 2.5.7 unaona hata mtu akibadili profile picture inakujulisha kuwa flani amebadili dp mkuu. Kwenye YoW ipo hiyo feature...?.

Kama hapa chini nachat na Meddy ila imeonesha kuwa Radhia yupo online mkuu.

8b3c13e6606c8d427de433a88375d7e6.jpg

Nadhani utakuwa umenipata vyema sasa.
 
Back
Top Bottom