white hat
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 3,323
- 2,487
- Thread starter
- #61
Dah! PoleYah hizi simu shida sana tangu mi yangu kuna wakati inapigia watu bila kusudio langu
Muda mwingine hizi simu tunaziharibu wenyewe kwa kuzijaza sana apps kuliko uwezo wake na hapo ndo simu inazidiwa na inaanza kufanya vitu vya ajabu kuna jamaa simu yake ilikuwa na tabia ya kusave majina vise versa jina la baba linakuwa na namba ya mama, jina la mke lina namba ya mchepuko yaani full kujimix