Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,815
- 3,821
Heshima kwenu wakuu.
Nimeona features mpya za YoWhatsapp nikasema nije kuuliza kwa wadau kuwa hizi zinakuwa by default au mpaka u-set sehemu...?
Na pia, kama hiyo feature ya kwanza inayosema "Click to mark status as viewed" sijaelewa wanamaanisha nini na setting yake inakuaje Wakuu...?
"Option to enable 5minutes status" hii inakuwa unaweza kuweka status yenye urefu wa dakika 5 au inakuaje...? Nayo ni default au una-set sehemu...? Na he, ni lazma mwenye kuona hiyo status ni lazma nae awe na Yo au hata mwenye official anaiona pia...?
Na feature nnayoitaka mimi ni hii ya kuweza ku-delete msg uliyonitumia mtu ndani ya siku 100,kwa kawaida kwa official nafkiri ndani ya dakika 10 zikipita huwezi tena kufuta msg kwa uliyemtumia, sasa kwa Yo hii inakuwa by default au kuna sehemu naenda ku-set wakuu...?
Tuelekezane haya maujanja wakuu wa hili Jukwaa najua hapa hakuharibiki kitu wadau.
Natanguliza shukran kwenu wakuu. Thanks.