Uzi maalum Kwa watumiaji wa Yowhatsapp (special thread)

Yowhatsapp ni MOD ya whatsapp yaani ni app iliyokuwa modified kutoka kwenye official whatsapp.
Hii app imefanyiwa maboresho na kijana yousef al basha(student computer science) na kuongezewa manjonjo mbalimbali zipo MOD nyingi za whatsapp kama vile gbwhatsapp,fm whatsapp,Ogwhatsapp n.k nimewahi kuzitumia karibu hizo app hapo juu zote ila niliamua kuachana na hizo zote na kubakia na yowhatsapp kutokana na tatizo la kuchelewa message pale unahide tiki mbili na kuforce uapdate kila mara na website yao kuwa na lugha ya kiarabu
Features of Yowhatsapp(v7.1)
• [Exclusive] Custom Hide name for contact/group (Click on name > Hide contact name)
• [Exclusive] Disable notification while playing voice notes (Option 1.3.10)
• [Added] Locked chat messages will be hidden in Widget
• [Fixed] Slow and lag when scrolling
• [Fixed] WhatsApp size (data) getting bigger
• [Fixed] Widget bypass WhatsApp Lock/locked conversations
• [Fixed] Isssue of Conversation bottom cut on some phones
• [] Other bugs fixes and Speed
-Kuweza kutuma mafile ya kila aina kwa urahisi zaidi
81820b70beddd6109a8702ce5a04f471.jpg

-kuweka theme(mionekano) mbalimbali
821555c6b706086d2ab7fe4a02d551bc.jpg

-kufanya setting mbalimbali
787f8897ac93afa6babbc7f4b85eb293.jpg

a3b1276546d17fd0d852a7d94b49857f.jpg

-kuview status ya mtu bila kuonekana katika view list yake
Kuhide blue tiki n.k
92457333b45c7d6ca20863cd49c59ef1.jpg

017c1dbc9bc4d336f2f69f49e7eabfe2.jpg

1f726361da6a03f0eefcab7e79e39b41.jpg

-kuchagua emoji mbalimbali
ec22b7d4aaae8a18595f52fde69f8bca.jpg

-kuonyesha upo online/offline muda wote hata kama haupo offline/online bila kuaffect wewe kuona real status za wenzako kama wapo online au offline
5336274c1d3710a3fddda118947810c4.jpg

eebdb77a8d4881a1ab4936be6d8eb7a6.jpg

-kuweza kusave status ya mtu mwingine sometimes umeview status ya mtu na ukapendezwa nayo na ungependa kushare na watu wengine sasa badala ya kuanza kumuomba akutumie wewe unaweza kuidownload mwenyewe
bf6c6d4b26ccd0c18df94fb3d6fbd8a4.jpg

-Pia kuna finger print lock kwa simu zinazosupport
55b98c4cb20a85364a43f375b3e2717d.jpg

-Na pia kwa zile simu zisizo support finger print lock unaweza kutumia pin au pattern kwa ulinzi wako
30ffa999b029cf3fda597d1c11da9591.jpg

Features ni nyingi mno hapa nimejaribu tu kuelezea kwa uchache kwa wale ambao walikuwa hawaifahamu kabisa yowhatsapp
zipo za aina mbili mimi natumia hiyo ya kwanza unaweza kudownload hapo chini
1 YOWHATSAPP With Emoji Changer/Variants

2 YOWHATSAPP Without Emoji Changer/Variants
Nb: unaweza kutumia yowhatsapp na official whatsapp bila shida(kwa namba mbili)au unaweza kufuta official na kubakia na Yowhatsapp
Karibuni kwa maswali na maoni.
Pia huu uzi utatumika kupeana updates na news features
Nataka kueka status clip yenye zaidi ya dakika moja. Ila nashindwa kujua
 
Pakuwa DENT APP
Program hii pindi unapo jiunga kupitia shared link kama hivu unapa DENT POINT za ziada hizo DENT point hukuwezesha kununua vocha ya shilingi 1000, 2000, na 5000 mara tu utakapo jiunga.
Na kizuri zaidi utaweza kutoa papo hapo kwenye mtandao wowote utakaopenda, KAMA VOCHA.

Dawnload hapa hiyo App
*Link*
https://jamiiforums.com/2egawIHnQX
Achen kutumia nguvu nying kutapel watu
 
Hii kitu jana nimeupdate fresh lakini haitaki kuinstall mpaka nimeing'oa na kila nikidownload inakataa
 
Back
Top Bottom