Uzi maalum Kwa :Waliowahi kusoma ughaibuni

Head Gelo

Senior Member
Oct 7, 2018
122
210
Habari za muda huu mabibi na mabwana

Kuna hii creteria ya kufadhiliwa masomo nje ya huu mtihani wa kizungu uitwao ielts ambayo nchi nyingi wanataka uwe umefanya na kufaulu.

Nimejaribu kuangalia British council cost zao ni kubwa kiasi (laki sita)

Mimi nina cheti cha communication skill ambacho tulipewa chuoni bada ya kufaulu hiyo course kina onesha kuwa nipo proficiency in english language, wapendwa nikitumia hiki cheti badala ya hiyo ielts kitakubalika kwelii???


Ushauri kwenu mnaosoma nje na mliokwidha kusoma



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom