impelle
JF-Expert Member
- Jan 20, 2017
- 832
- 1,106
Hbr wadau
Mimi nina ndoto za kwenda kusoma nje hasa mataifa ya ulaya na Asia.
Kwa mwaka huu nimekwisha omba vyuo vingi hasa Australia, Norway, UK na China.
Changamoto kubwa kwz vyuo vya ulaya ambavyo nimejibiwa ni vyeti vya TOEFL na IELTS.
Kwa vyuo vya China bado mpk sasa hawajanijibia niliomba kupitia MOFCOM, kupitia ubalozi wa China na kweny vyuo vyao moja kwa moja kama viwili hivi.
Ingawa naendelea kusubir notification yoyote lkn naona ni bora kusoma ulaya na hivyo umuhimu wa kuwa na kati ya hivyo vyeti nilivyotaja hapo juu.
Hivyo basi, naomben msaada kwa waliowahi kufanya na kufaulu
1. Kati ya TOEFL NA IELTS ni upi rahis kufaulu? Ni muda sasa sipo shule hivyo nifanya mtihan ambao hauna complications nying za kujiandaa ili nifaulu.
2. Vituo vya hii mitihani
Niligoogle kupitia British council kwamba wana kituo isamilo,DSM na moshi.
Kwa vile nipo kanda ya ziwa nikaona iko kituo cha isamilo kitanifaa,sasa nauliza kama pana mtu aliwah kufanyia hapo mitihani.
3. Upatikanaji wa learning materials
Nawezaje kupata materials za kujisomea ili kujiandaa na huu mitihani.
4. Vyeti vinatolewa baada ya muda gani?
Pamoja na yote hayo tafadhali naombeni ushauri wa jumla juu ya kupata kati ya vyeti ili niweze kuomba kusoma nje na hatimaye kutimiza malengo yangu.
Mungu awabariki.