Uzi maalum kwa 'vitu used'

Tecno K7,IPO na mazingira mazuri kabisa haina shida yeyote inauzwa kwa shilingi 110,000/=,kwa mawasiliano nipigie 0659333655
IMG_20200421_131400.jpg
IMG_20200421_131352.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauza laptop,apple macbook pro.
Bei laki 3.
Core i5 processor,
Ram:4GB
Hdd:500GB

Ina tatizo la keyboard.baadhi ya button hazifanyi kazi,battery inakaa masaa 4 hadi ma 3.
Mouse ina tatizo la ku shake shake,lakini hivi karibuni sijaona hilo tatizo.
0747691111
IMG_3078.jpg
IMG_3107.jpg
Adjustments.jpg



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hp elitebook 8460p

HDD 500GB
RAM 4GB
Operating system Windows 8
Processor intel inside core i5 (2.60GHz)
Bluetooth built in
3hrs battery life
Power adapter
External mouse
Finger print authentication
Price 330,000
kwa atakaehitaji, pia ipo Halotel route (supports Halotel chip only)
Contact: 0765-983-83
20200423_101932.jpg
20200423_102005.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Deep freezer, kampuni ya Mo (lita 306)

limetumika miezi mitatu tu. Ni zima halina tatizo hata kidogo

sababu ya kuuza ni kusimama kwa biashara kwa muda usiojulikana.

Location: Dar es Salaam

Bei: 550000/=

0674325074

IMG_20200315_130918_015.jpg
IMG_20200124_224130_511.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani mbona bei zenu ni tofauti kwa iyo bei ya Used,Ni heri mtu aende akanunue kitu kipya tu,Kama mie kuna kitanda na godoro lake 5 kwa 6 nilinunua laki mbili tena godoro lake likiwa bado jipya,sasa vitu vilivyowekwa hamu ndani bei zake ni kubwa sana yaani,
Hawafanyi biashara wapo kwenye utani. Wala usiogope

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu kuna watu wengi hawajui bei za vitu lakini wanawahi kulalamika vitu vina bei kuliko vipya ..

Godoro la inch 8 linaenda 270 hadi 300
Bado watu wanaona bei Ni kubwa kuliko dukani

Rai yangu.. kama hujui bei ya kitu kipya uliza kwanza kuliko kucomment Kama Una uhakika.. Kufanya hivyo Ni kupoteza sifa ya muuzaji
Inch 10 limenunuliwa kwa 180,000 kariakoo. Labda kwa wasiotembea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,poleni na majukumu.
Nina shida na VGA (Video Graphic Arrays) za kutoka kwenye Laptop/PC kwenda kwenye Flat Screen/TV.
Ziwe VGA - out to HDMI - in,VGA - out to VGA - in.
Naweza kuzipata wapi hizo cable kwa Dar?
Natanguliza shukurani sana na wote mubarikiwe.
 
Back
Top Bottom