jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,293
Bado unahitaji fridge?
Nakusubiri ujue
Bado unahitaji fridge?
Samsung s6 edege
Camera ya nyuma 16mp
Camera ya mbela5mp
32Gb
Haingii maji
Ina crack kidogo kwenya mfuniko Wa nyuma
View attachment 866777View attachment 866778View attachment 866779
Bei gani mzee
Wakuu hiki kioo ntapataView attachment 1273230
Lenovo G50 Haina Kioo 15.6 Hicho Ni 14 Slim Mkanda MdogoKipo used cha Lenovo g50 screen size yake inch 15.6 ila sina hakika kama vinaingiliana
Bei 135,000/=View attachment 1273687
Hiki Unapata Mkuu Kwa Mtu 60k -70kWakuu hiki kioo ntapataView attachment 1273230
Lenovo G50 Haina Kioo 15.6 Hicho Ni 14 Slim Mkanda Mdogo
Nilikaa Nacho Ndani Miezi 6 Kuna Boya Akanipa Elfu 40 Maana Nilihisi Nitakivunja.
Jaribu Kariakoo Agrrey Mwisho Mwisho Kule.
Jiandae Sio Chini Ya 100k
200k mkuu
Hiki Unapata Mkuu Kwa Mtu 60k -70k
Dukan Kariakoo 80-120k Hicho Ni Wide 15.6 Mkanda Mkubwa.