Uzi maalum kwa 'vitu used'

Nimeona sio jambo baya Kama tukawa na Uzi maalum kwa ajili ya kuuza vitu used especially vitu vya ndani..pia ikumbukwe gharama ya vitu used inakuwa nafuu kwa mnunuaji

Kama hali ilivyo kuwa ngumu.kuna wengine wanakimbia mjini na kuuza vitu vya ndani, wako wanaobadilisha furniture na kuweka mpya na wanaohama kikazi au kwa sababu maalum

Huu ndio utakuwa Uzi wetu Wa kutangaza vitu tunavyouza pia Kama unahitaji unaweza kusema wadau wakatafuta

Kitanda ,godoro, meza, stuli, friedge,tv,radio,deki, kabati la nguo na vyombo, zulia, sofa, pasi, jiko la gas na umeme ,vyombo vya ndani, vyombo vya maofisini n. K

Utaratibu utakuwa; utaweka kitu unachouza yaani picha ya bidhaa yako na bei yake ukiweza kuandika namba ya simu itakuwa vizuri zaidi na mahali ilipo bidhaa

Kama una usafiri Wa bure kwa mteja (free delivery) utatuambia wanajukwaa..huu uzi kwa ajili ya wauzaji na wanunuaji wa kweli kama hauko serious tuache wenye kuelewa vitu used ..au wanasema asiyehusika na shoo akae pembeni


Sofa la L 360,000
Dryer 200,000@1
Kabati la nguo mbao ngumu200,000
Friedge hotpoint480,000
Bakuli2000@1
Glass4000
Sahani3000@1
Tvshowcase230,000
Brenda60,000
Jiko pamoja na mtungi wake220,000

Vyote vinapatikana tabata bimaView attachment 865975View attachment 865976View attachment 865977View attachment 865978View attachment 865979View attachment 865980View attachment 865982View attachment 865983View attachment 865984View attachment 865986View attachment 865987View attachment 865990View attachment 865991
Anayeuza vitu used vya ndani kwa sasa?
 
Kabati hilo la mbao ngumu kwa 150k
Liko Mkuranga town
Kwa maelezo zaidi piga 0687 089980
Usafiri juu yako
20191022_125635.jpeg
 
Nina ram 6 ,za gb 4,2 na 1 za laptop
Dvd module ya dell laptop
Ac ya laptop
Vyote kwa bei 60
 
Back
Top Bottom