Uzi maalum kwa 'vitu used'

Me nataka pasi used wakuu.
Nipe 35k nikuachie hii
IMG_20181020_170248.jpeg
 
Nimeona sio jambo baya Kama tukawa na Uzi maalum kwa ajili ya kuuza vitu used especially vitu vya ndani..pia ikumbukwe gharama ya vitu used inakuwa nafuu kwa mnunuaji

Kama hali ilivyo kuwa ngumu.kuna wengine wanakimbia mjini na kuuza vitu vya ndani, wako wanaobadilisha furniture na kuweka mpya na wanaohama kikazi au kwa sababu maalum

Huu ndio utakuwa Uzi wetu Wa kutangaza vitu tunavyouza pia Kama unahitaji unaweza kusema wadau wakatafuta

Kitanda ,godoro, meza, stuli, friedge,tv,radio,deki, kabati la nguo na vyombo, zulia, sofa, pasi, jiko la gas na umeme ,vyombo vya ndani, vyombo vya maofisini n. K

Utaratibu utakuwa; utaweka kitu unachouza yaani picha ya bidhaa yako na bei yake ukiweza kuandika namba ya simu itakuwa vizuri zaidi na mahali ilipo bidhaa

Kama una usafiri Wa bure kwa mteja (free delivery) utatuambia wanajukwaa..huu uzi kwa ajili ya wauzaji na wanunuaji wa kweli kama hauko serious tuache wenye kuelewa vitu used ..au wanasema asiyehusika na shoo akae pembeni


Sofa la L 360,000
Dryer 200,000@1
Kabati la nguo mbao ngumu200,000
Friedge hotpoint480,000
Bakuli2000@1
Glass4000
Sahani3000@1
Tvshowcase230,000
Brenda60,000
Jiko pamoja na mtungi wake220,000

Vyote vinapatikana tabata bimaView attachment 865975View attachment 865976View attachment 865977View attachment 865978View attachment 865979View attachment 865980View attachment 865982View attachment 865983View attachment 865984View attachment 865986View attachment 865987View attachment 865990View attachment 865991
frij kula 250 mkuu nipo tabata pia
 
INAUZWA
HUAWEI GR5 DUAL SIM
Display 5'5 inches
Network 4G
Ram 2GBP
Storage 16gb
Camera 13Mp with LED flash
Selfie 8Mp
Battery 3000mAh
Fingerprint sensor
condition used mwezi 1

Bei 250,000/-
Exchange
FB_IMG_1543035727542.jpeg
FB_IMG_1543035715000.jpeg
 
mwenye nokia obama used ila original anicheki pm ninunue, hata zikiwa 4 nitanunua
 
A6DEA726-9043-4EA1-90C2-A4C39884E3BD.jpeg
A6DEA726-9043-4EA1-90C2-A4C39884E3BD.jpeg
A6DEA726-9043-4EA1-90C2-A4C39884E3BD.jpeg
Nauza iPhone 6 16gb ipo kwenye hali nzur kwa mawasiliano piga namba 0682440025 Bei ni 470000/= tu .Maelewano yapo
 
Nauza iphone 6
Storage 16gb
Ipo kwenye hali nzuri
Haina charge walaearphone
Bei 470,000/= ila inapungua
Mawasiliano 0682440025
 

Attachments

  • 1CA0D0E9-530B-4EA2-9A5B-D3BCF3531C9A.jpeg
    1CA0D0E9-530B-4EA2-9A5B-D3BCF3531C9A.jpeg
    17.3 KB · Views: 50
  • 5D75A2D9-CD28-437D-AC91-5B6782DC1D33.jpeg
    5D75A2D9-CD28-437D-AC91-5B6782DC1D33.jpeg
    27.4 KB · Views: 56
Back
Top Bottom