Uzi kwa Mdada Mzuri Mwembamba

Uzi kwa Mdada Mzuri Mwembamba

sema wanawake wa bongo dahh , kisa tu nilisema ntamlipa laki, hapo usiku ulie nae hata mia akupii
unatumikia mapenzi , ila kisa nimesema laki .. ningesema million sijui ingekuwaje
Unaogopa kipondooo? Ukileta unaa unabondwa tyuuh hakuna namna.
we nawe unaonekana mkorofi kama dear x
 
sema wanawake wa bongo dahh , kisa tu nilisema ntamlipa laki, hapo usiku ulie nae hata mia akupii
unatumikia mapenzi , ila kisa nimesema laki .. ningesema million sijui ingekuwaje

we nawe unaonekana mkorofi kama dear x
tena mie nakubonda haswaah,
 
nitamlipa laki moja kila mwisho wa mwezi ili mambo yake madogo madogo yasimsumbue kama kwenda saloon na mambo mengine hiyo ni tofauti na pesa ya kula na matumizi ya nyumbani
Mdogo wangu hii kitaalamu inaitwa invitation to treat, uwe makini ikitokea ukampata sidhan kama huo mshahara utampa zaidi ya mwezi mmoja😃😃
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom