baby success
JF-Expert Member
- Jul 14, 2022
- 548
- 1,803
Shida YAKO ni kufuliwa nguo na kupikiwa my sweetheart nunua washing machine na kula kwa mama ntilie full stop
hahaha nimesha ghaili , sitaki tena nimeshampata modo wa kwendaMdogo wangu hii kitaalamu inaitwa invitation to treat, uwe makini ikitokea ukampata sidhan kama huo mshahara utampa zaidi ya mwezi mmoja😃😃
nilishawahi date na mwanamke mnene , tukigombana ananipiga serios



We cocastic, unafikiri Mimi ni wanaume wa DarUnaogopa kipondooo? Ukileta unaa unabondwa tyuuh hakuna namna.![]()






Kama unakuja hivi , alafu unatoka gaddamn itAcha ujinga mkuu kwanini usiseme unatafuta dada wa kazi malipo 50 plus kila kitu kwako.
Kuna videmu vikali miaka 18-19 warefu, maji ya kunde sura safi kabisa bila makeup na ujinga mwingine vitu natural kutoka shamba.
Baada ya hapo hayo mengine unamaliza juu kwa juu.
WTF am I thinking!