Huo ni zaidi ya Uzi. Utabibu, ulimbwende, ucheshi , ukarimu, utani, na mazagazaga yote bila kusahau likes za kishindoUzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like" huu ni hatari sana!
https://https-www-jamiiforums-com.0..._id_internal=925946837445621;AfpqN8sJWUVbRrJ_ huu Uzi Hater's wote walikimbiaKuna nyuzi zinatushika sana humu j.f haipiti siku lazima ipitiwe,watu wanakesha humu. wana j.f kila mtu afunguke na uzi anauona umemshika haswaaa! mimi huu uzi wa J.f usiku wa manane kwa kweli ntafunga nao mwaka naupenda sana yaani una mastori adimu kuliko nyuzi zote humu na ndio uzi pekee unapatikana ile mida ya Wanga.Wewe Je?
Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like" huu ni hatari sana!
Ni kweli ule Uzi niliutembelea nikakutana na Madini yanashushwa hadi raha., kubwa unapigwa likes hadi unakimbia!Huu hata mimi naufagilia sana. Halafu kuna vichwa kweli kule na utani ambao unaweza kukuvunja mbavu.
Ni kweli ule Uzi niliutembelea nikakutana na Madini yanashushwa hadi raha., kubwa unapigwa likes hadi unakimbia!
Dah....Uzi mzuri sana....hasa wale wasio na bedmates[emoji13] [emoji13]Kuna nyuzi zinatushika sana humu j.f haipiti siku lazima ipitiwe,watu wanakesha humu. wana j.f kila mtu afunguke na uzi anauona umemshika haswaaa! mimi huu uzi wa J.f usiku wa manane kwa kweli ntafunga nao mwaka naupenda sana yaani una mastori adimu kuliko nyuzi zote humu na ndio uzi pekee unapatikana ile mida ya Wanga.Wewe Je?