Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,518
- 25,438
Nimekuwa na tatizo au niseme ni kama ugonjwa hivi, sasa sijui kama na nyie wanaume wenzangu kama limeshawahi kuwakuta au kuwatokea?
Sasa ishu iko hivi mimi nmekuwa mzembe kushughulikià hizi ishu ndogo ndogo kama za kutonunua boxer (bukta), soksi, leso, vest au taulo na vitu vingine kama hivyo etc.
Unakuta natumia hivi vitu mpaka vinachakaa balaaa huku vitu kama suruali, shati, t-shirt, viatu nikinunua mara kwa mare tena vya gharama na kuendana na fashion.
Nanunua cheni za gharama ila linapokuja swala la hivi vitu vidogo vidogo na kuwa mzito kununua. Some time ni dogo ili nisije nikavisahau.
Kila siku natumia mafuta ya zaidi ya elfu 20 ila kununua hivi vitu vidogo dogo nakuwa siyo mwepesi kuvitekeleza kwà wakati.
SASA WADAU NAOMBENI MNISAIDIE KUPAMBANUA HILI TATIZO, maana mpaka kufikie kusema hapa ujue hili tatizo limeshaniaibisha sana. MPAKA KUNA SIKU DEMU WANGU ALISHANIAMBIA MBONA UNA BOXER MOJA TUU? NKABIDI NMDANGANYE KUWA "Nimenunua dozeni moja ambazo zimefanana hivyo nnazo nyingi" sasa nmeona hii ni sawa na dalili ya mvua ni mawingu. hvyo nkaona kuna siku nitakuja kuumbuka mtu mzima
YANI IMEFIKIA MPAKA NMEBAKIWA NA BOKSA MOJA AMBAYO NDO NZIMA NA NDO NAYOITEGEMEA KWA AJILI YA KUGONGEA. Maana hizo nyingine zimechakaa mbaya.
Nawasilisha