Aisee pole, bora wewe macho kuliko kuzeeka maini
upo mkoa ganinaombeni anaejua sehemu wanauza miwani classic! sio ya urembo mi computer imenidhuru
uzee umeniingia vibaya mwenezu
naombeni anaejua sehemu wanauza miwani classic! sio ya urembo mi computer imenidhuru
uzee umeniingia vibaya mwenezu
Kapime kwanza macho then utashauliwa ununue miwani ya aina gani.
utashauriwa
nishapima dear ndo maana nataka sehemu yenye miwani bomba kipimo ninacho
upo mkoa gani
mkoa wowote mi naenda
mi nimeambiwa nivae ya kujilinda na huo mwanga...mi sio bahili hata hapa nimetenga m na ushee kwa ajili ya miwani....nipe tu locationSasa na wewe Mpenzi Smile, acha ubahili bana. Hapo hapo wanapopima, wanatakiwa wawe na miwani pia.
Kama umeenda tu sehemu na kupima, hasa serikalini, basi wanaweza kuwa wamelipua kazi.
Nenda huko madukani ila kabla hujanunua, nie vema ukapima tena. Karibu kwenye wavaa miwani ya kusomea.
Inadaiwa, baada ya miaka 40, uwezo wa macho unashuka. Na hata kama bado na unakaa sana kwenye computer, basi ni vema pia ukawa unatumia miwani kujilinda na mionzi ya SCREEN. Bahati mbaya mie siyo mwenyeji wa Dar hivyo siwezi kukupa anwani ya duka.
Pole kwa tatizo la macho, ila uzee? Mwanamke ni kama Mvinyo.......