UZEE MWISHO CHALINZE (Angalia Picha)

UZEE MWISHO CHALINZE (Angalia Picha)

Naona mtoa mada imemuuma sana jamaa kuoa tangaza tenda ya dume mwingine
 
Naona ndoa ya uji..mzee anabadili ladha ya futari siku zinahesabika
 
Uje kwa heshima na adabu na ufate kanuni za JF, la sivyo utalambwa tena ban.
lakin maustadh wakati mwingine kama mnabaka vile, si mjukuu wake huyo? afu FaizaFoxy apo alipo utakuta ana miaka 50 lakini bwanake ana miaka 90 hata kumsugua hawezi tena kilichobaki atakuwa anampiga mafinga tu. ukiona umetofautiana umri kiasi icho, wakati mwanaume mzee wewe mwanamke utakuwa kijana na mwenzio amezeeka chini ataishia kukushika na kuibariki tu hiyo ****. vizee hivi vinatuchukulia warembu wakati havijui. faizafoxy naye mhanga wa hiyo.
 
weee jamaa unamatusi ulizaliwa bar nini?
 
aisee kwa awamu hii ya viwanda, lazima watoto wazuri wakimbilia kwa wazee design hii, visharobaro viuza sembe vishatepeta
 
Sura tu jamani ya ugumu wa maisha tangu mirija ikatwe maisha ni magumu mno. Huenda huyu alikuwa ndo anaupokea mkoba akirudi hivyo kaamua tu kumla taratiib baada ya kukumbwa vyeti feki
 
tuseme bwana harusi kakumbwa na fagio la vyeti vilivyochacha!
 
ng'ombe hazeeki maini
nyie vizee msijidanganye, hiyo ni methali ya kwenye makaratasi, kwenye utendaji nyie wazee hamuwezi kulingana na sisi. tutawapigia sana hao wake zenu, nyie tutunzieni tu.
 
wewe unajuaje mimi ni mzee? Kuwa makini maisha hayana remix ukishafumaniwa.. za mwizi 40
 
Back
Top Bottom