illuh
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 1,254
- 700
Ndio maana ukaambiwa KUA UYAONE...Kama wewe ni mwanaume utayaona...Wapo wazee ambao wanamudu, hasa ukiwa na mlo mzuri, mazoezi HAU DEPRECIATE kamwe.....Na ndio maana tunaambiwa mwanaume aweza oa hata akiwa na miaka 50 na kuzaa akazaa., mbona wengi tuu wameolewa hivyo na wanaishi vyema tuu katika ndoa zao.......ila tatizo lipo kwa wanawake tuu ndio tuna DEPRECIATE...Ikifika miaka 40 kwishneh..
Wadau kama msemo maarufu kuwa uzee mwisho Chalinze mjini kilatu baby (Angalia picha) inajieleza. Swali ni kuwa Mkuu atakiweza chombo hiki au ndo vijana wa bodaboda watamsaidia?