Nikune nami nikukune! Babu keshapata mtu wa kumuhudumia na kijana keshapata kianzio cha maisha kwa kurithi.Wadau kama msemo maarufu kuwa uzee mwisho Chalinze mjini kilatu baby (Angalia picha) inajieleza. Swali ni kuwa Mkuu atakiweza chombo hiki au ndo vijana wa bodaboda watamsaidia?
Uje kwa heshima na adabu na ufate kanuni za JF, la sivyo utalambwa tena ban.
Nani asiyejuwa kuhusa Slaa na Josefina humu JF?
Ulitaka nikutolee mfano wewe usiyejuwa kuwa ni firimbi na si "filimbi"?
Kwa hilo vazi usishangae ndivyo walivo,utakuta hyo ni mke wa nne..
Kweli kabisa, mimi sijaolewa na wala sita-olewa, mimi na mume wangu tumeoana.
Upo hapo ulipo?
Naskia yule shehe wa zanzibar anayesema kalawitiwa na askari, serikali imetoa kauli bungeni kuwa inachunguza mwenendo wa tabia zake kabla ya kuwekwa mahabusu,mmhh kulikoni!!? mwenye kuzijua tabia zake aisadie serikali ili kuharakisha uchunguzi!
Heheheeee ncheke nnenepe sijui washaoana vile?
Bado Slaa anamega kisela
"Mapenzi ni kikohozi hayawezi kufichika".Mbona hata mfanyabiashara maarufu kwa mwaka 2013 Tanzania na Afrika ya mashariki kaopoa mwanamziki tena binti mbichi kabisa kwake na wewe umeufyata tu badala yake wewe umemng'ang'ania Slaa tu??????Wacha kubwabwaja na kuhororoja, jibu swali, vipi Slaa na Josefina? si sawa na mtu na mjukuu wake? au hilo hamlioni?
we shoga kumbe bado upo, acha hizo tabia za kuingiliwa maungoniHiki kibibi mbona hakipigwi ban au kinatoaga libeneke kwa Mods Na Invisible
mengi nae huwa anavaa hivi eeh?Kwa hilo vazi usishangae ndivyo walivo,utakuta hyo ni mke wa nne..