Vipi Slaa na Josefina?
Slaa ana wake wa-nne na Jose ni mke wa nne...right???
Vipi Slaa na Josefina?
Lazima utakuwa na matatizo ya kunuka kikwapa! Hao wamehusikaje na kwenye mada hii? Mbona yule mwenye busha humsemi kwa dogodogo zake? Uwe na heshima wewe.
Kweli nimeamini siasi ni kila kitu kwako!!!!
Bora ya hayo kuliko kulawiti watoto.
Sent from my SM-G800H using Tapatalk
1.Uzee dawaWadau kama msemo maarufu kuwa uzee mwisho Chalinze mjini kilatu baby (Angalia picha) inajieleza. Swali ni kuwa Mkuu atakiweza chombo hiki au ndo vijana wa bodaboda watamsaidia?
Slaa ana wake wa-nne na Jose ni mke wa nne...right???
Sema mahawara, wake awatowe wapi?
Wadau kama msemo maarufu kuwa uzee mwisho Chalinze mjini kilatu baby (Angalia picha) inajieleza. Swali ni kuwa Mkuu atakiweza chombo hiki au ndo vijana wa bodaboda watamsaidia?
Babu kaopoa ndogo ndogo kasahau mpaka watoto!
Sema mahawara, wake awatowe wapi?
hivi mahawara kwa lugha nyingine ndo wanaitwa masuria, au?
Hapana, masuria nenda katazame kwenye biblia utapata maana yake. Unaweza kuwasoma hapa, halafu kama haujui, nakushauri muulize Daktari wa kanoni Padri Dr.W.Slaa akueleze tofauti ya mahawara na masuria.
2 Mambo ya Nyakati 11
21 Rehoboamu akampenda Maaka binti Absalomu kuliko wakeze wote na masuria yake; (maana alioa wake kumi na wanane, na masuria sitini, akazaa wana ishirini na wanane na binti sitini).
NDO MANA HUOLEWI... YAANI MIDA HII UNATAKIWA UWE NA MWENZA UNAMSHUGHULIKIA MAANDALIZI MUHIMU. WEWE MUMEO NI jf tuuuuu LOH!! SHEEEDDDAAAH!!!!
Vipi Slaa na Josefina?
Vipi Slaa na Josefina?
awatowe au awatoe:what:
Uislam unaruhusu hata binti wa miaka 8 kuolewa na jitu zima la miaka 40
Josefina si ni mke wa pili tuuVipi Slaa na Josefina?