CARRINE JUSTINE
New Member
- Oct 30, 2014
- 2
- 0
Bigup babuu
Vipi Slaa na Josefina?
Morning madam!! kumekucha, acha njozi.....Vipi Slaa na Josefina?
Hiki kibibi mbona hakipigwi ban au kinatoaga libeneke kwa Mods Na Invisible
Vipi Slaa na Josefina?
Vipi Slaa na Josefina?
Au nawe unamtaka Slaa
ng'ombe hazeeki maini...
Naskia yule shehe wa zanzibar anayesema kalawitiwa na askari, serikali imetoa kauli bungeni kuwa inachunguza mwenendo wa tabia zake kabla ya kuwekwa mahabusu,mmhh kulikoni!!? mwenye kuzijua tabia zake aisadie serikali ili kuharakisha uchunguzi!
Morning madam!! kumekucha, acha njozi.....
Nyie ndio wale ukipigana na Juma kisasi unalipiza kwa ndugu zake ambao hawahusiki kabisa na Subject Matter yenu!!!! very interesting!
Vp na wewe na Shekh Ponda Issa Ponda.Vipi Slaa na Josefina?
Naskia yule shehe wa zanzibar anayesema kalawitiwa na askari, serikali imetoa kauli bungeni kuwa inachunguza mwenendo wa tabia zake kabla ya kuwekwa mahabusu,mmhh kulikoni!!? mwenye kuzijua tabia zake aisadie serikali ili kuharakisha uchunguzi!
NDO MANA HUOLEWI... YAANI MIDA HII UNATAKIWA UWE NA MWENZA UNAMSHUGHULIKIA MAANDALIZI MUHIMU. WEWE MUMEO NI jf tuuuuu LOH!! SHEEEDDDAAAH!!!!
Vipi Slaa na Josefina?