Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,719
- 287,576
- Thread starter
- #21
Hilo ndilo tunalolikataaVipi kuhusu utanganyika wetu, utumike kama kinga dhidi ya maovu mengi tunayoyafanya?.
Hilo ndilo tunalolikataaVipi kuhusu utanganyika wetu, utumike kama kinga dhidi ya maovu mengi tunayoyafanya?.
Tulibambikizwa mpigaji na amerithi urais kwa hivyo lazima tupambane. Sio issue ya wazanzibari eti kuiuza bara. Kumbuka kama sio jk kutuletea huyu mama jpm mwenyewe mtu wake alikua mwinyi. Mtu wanaendana sawa kiitikadi. Hakuna ubishi zanzibar inaendeshwa kimagufuli. Hawa wahuni wasingeweza kumvaa mwinyi kwa mkataba wa kijinga wanatuingiza huku bara.Angalizo: Uzi huu hauna mahusiano yoyote na Ubaguzi wa Rangi, Dini ama Ukanda, nimeuandika ili kutoa elimu tu kwa maono yangu.
Ni kweli kwamba Tanzania ni Nchi iliyotokana na muungano wa nchi mbili, marehemu Tanganyika na Zanzibar iliyo hai hadi leo, hizi nchi zote zilikaliwa na watu wake , tena wake kwa waume, wasomi na wasio wasomi.
Ni kweli kwamba Wazanzibar wanaruhusiwa kikatiba kuwa Viongozi wa Tanganyika (Muungano), bali Watanganyika hawaruhusiwi kuwa viongozi wa Zanzibar (kero ya muungano), hili kila mtu analifahamu, na nadhani linashughulikiwa.
Sasa ninachokiomba kwa viongozi wa Nchi hii, wa kuteuliwa na wa kuchaguliwa, wa vyama vya siasa, viongozi wa dini na wapagani ni hiki, UZANZIBAR USITUMIKE KAMA KINGA DHIDI YA MAKOSA YA VIONGOZI WA KITAIFA WENYE KUTOKEA ZANZIBAR, kwamba sisi wakosoaji wa mambo mbali mbali ya msingi kwenye nchi yetu, tena ukosoaji wa kujenga, TUSIWEKEWE mipaka ya kumkosoa mtu kwa vile tu ni Mzanzibar, hata kama ametenda makosa au jambo baya linalopaswa kukosolewa, kitu hiki kinachotaka kupandikizwa kwenye nchi yetu kipingwe na kila mwenye dhamira njema ya kupinga maovu.
Ukosoaji wa madudu ya viongozi haukuanza leo, tulikosoa Nyerere na Viongozi wake, tulikosoa Mwinyi, Tukakosoa Mkapa, tulimpa za Uso Kikwete, tulikosoa Magufuli na Wapambe wake bila uoga wowote ule kwa vile tulikuwa na nia njema na nchi yetu, kwa hiyo tunapokosoa madudu ya leo tusionekane Wabaguzi, hatukosoi kwa Dini ya mtu wala kule atokako, TUNAHANGAIKA NA MAMBO ALIYOYAFANYA MTU AMBAYO TUNAONA KWAMBA NI MABAYA KWA MUSTAKABHALI WA NCHI.
William Lukuvi alisema maneno mengi mno ya kibaguzi kuhusu Zanzibar (Ushahidi umo humu JF), lakini hakuna kiongozi aliyepiga kelele, ndio kwanza akawa anateuliwa kwenye vyeo hivi na vile, nani amesahau? Mnataka tuamini kwamba Rais Samia alimtoa kwa vile aliibagua Zanzibar Wakati ule? La hasha, sisi wengine tunaendelea kuamini kwamba aliyemtoa alimtoa kwa kuzingatia utendaji wake.
Natoa wito kwa wale wanaotushambulia kwa kuwakosoa viongozi wanaotokea upande wa pili wa Muungano kwamba waangalie UKWELI WA HOJA ZETU badala ya kutaka kutufunga midomo.
Naomba kuwasilisha.
Jengeni hoja za maana suala la DP World ili sote tufaidike na huu uwekezaji wa waarabu unaokuja bandarini, kuliko kujaribu kuanzisha fitina nyepesi za mitandaoni.Hilo ndilo tunalolikataa
Maridhiano yana faida zaidi kwa ccmChawa wa mbowe nasikitika na kukupa pole, mbowe maridhiano aliyobakiza mkia tu kummaliza ng'ombe ameyavuruga Kwa ulimi wake mshaurini akipiga zake konyagi asiwe anaingia kwenye platform za kisiasa kuongea make mwisho wake huishia kuharibu, siasa za kibabe za mwendazake zinaenda kurudi kwa Kasi na mtanyooshwa kweli kweli hili limama lilikuwa pisi sana Ila tayari mmeshaliuzi subirini majibu mtayapata.
Mikataba ya kijinga kwako wewe mlalamikaji, sio ya kijinga kwa watu wenye upeo mkubwa wa kibiashara.Tulibambikizwa mpigaji na amerithi urais kwa hivyo lazima tupambane. Sio issue ya wazanzibari eti kuiuza bara. Kumbuka kama sio jk kutuletea huyu mama jpm mwenyewe mtu wake slikua mwinyi. Mtu wanaendana sawa kiitikadi. Hakuna ubidhi zanzibar inaendeshwa kimagufuli. Hawa wshuni wssingeweza kumvaa mwinyi kwa mkataba wa kijinga wanatuingiza huku bara.
Hatuwezi kuacha uchafu kwa kisingizio cha kusubiri neema , Hizi Porojo tulishapewa tangu enzi za NET GROUPJengeni hoja za maana suala la DP World ili sote tufaidike na huu uwekezaji wa waarabu unaokuja bandarini, kuliko kujaribu kuanzisha fitina nyepesi za mitandaoni.
Nakubaliana na wewe make wote hao mbowe hujisifu aliwapika yeye,Kumtumia Kibajaj na Waitara kumethibitisha uwezo wako kuwa duni
Kwa hapo uongo wowote?We chawa wa mbowe kamsikilize mbowe alivyombagua Samia kasema wazi wazi rais Samia na waziri mbalawa ni wazanzibar wameuza bandari za Tanganyika hawajagusa za Zanzibar
Hakuna uchafu wowote zaidi ya hisia za kinyonge tulizonazo watanzania. Tumejawa na negativity nyingi na roho mbaya.Hatuwezi kuacha uchafu kwa kisingizio cha kusubiri neema , Hizi Porojo tulishapewa tangu enzi za NET GROUP
Kwamba Samia na mbalawa wameuza bandari sababu ni wazanzibar huo ndo ukweli? Kwa hoja hizi za kipuuzi ni halali mtembezewe virungu!Kwa hapo uongo wowote?
Uzanzibar wao usiwe KingaKwamba Samia na mbalawa wameuza bandari sababu ni wazanzibar huo ndo ukweli? Kwa hoja hizi za kipuuzi ni halali mtembezewe virungu!
Kipi cha uwongo hapa.? Ubaguzi uko wapi? Turudishieni bandari zetu acheni Ukraine hapa.We chawa wa mbowe kamsikilize mbowe alivyombagua Samia kasema wazi wazi rais Samia na waziri mbalawa ni wazanzibar wameuza bandari za Tanganyika hawajagusa za Zanzibar
Hatari sanaKipi cha uwongo hapa.? Ubaguzi uko wapi? Turudishieni bandari zetu acheni Ukraine hapa.
Sasa haya ni vizuri ukamweleza Ismail JussaSawa
Tanzania haina Udini ndio sababu kila Mtaa kuna Bucha ya Nyama ya Nguruwe