Katika wikendi hii, nmna moja ya kuburudika ni kuingia katika youtube chaneli yetu iitwayo FILAMU PICTURES na kisha kutazama kazi yetu iitwayo PETE ambayo ipo episode ya kwanza hadi ya nne.
Maoni yenu tunayohitaji kuyasikia pia maana ni muhimu sana kwetu. Karibuni