Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 4,199
- 7,750
Kumbe sijaona peke yangu inabidi twende tukatembee kwamashuKwamashu ni pazuri jamani leo walikua wanaonyesha view kwanzia juu mji umejipanga vizuri sana ule
kuna siku sio muda mrefu ayanda, manzunza, dlomo na sba walikuwa wanapata chakula dlomo akawa anaponda kuhusu wanawake wanaojiuza sba alibadirika na kuchukia kwanini baba yake anapenda kuhukumu.Nimeangalia marudio
Kumbe sibahle alikua Malaya muuza mbunye na boss wake ndo huyo jamaa(Amos) aliyemfuata kwamashu baada ya kutoroka Johannesburg
Amos anasema sibahle alikua anatoa Huduma nzuri kwa Wateja wake ndo maana amefuata akaendelee kutoa uroda Wateja wanamuuliziaa
Kumbe sijaona peke yangu inabidi twende tukatembee kwamashu
kuna siku sio muda mrefu ayanda, manzunza, dlomo na sba walikuwa wanapata chakula dlomo akawa anaponda kuhusu wanawake wanaojiuza sba alibadirika na kuchukia kwanini baba yake anapenda kuhukumu.
Siku nyingine baada ya sba na ayanda kugombana sba alikuwa anaongea na rafiki yake akamweleza kuwa amemsamehe ayanda kwani hata yeye ana mambo yake sio mazuri.Rafiki yake alipomdadisi akakwepa kueleza ni mambo gani.
Yeah nmekumbuka hizo scene sema Ayanda akijua hatomsamehe ndo atahamia kwa smangele mazimakuna siku sio muda mrefu ayanda, manzunza, dlomo na sba walikuwa wanapata chakula dlomo akawa anaponda kuhusu wanawake wanaojiuza sba alibadirika na kuchukia kwanini baba yake anapenda kuhukumu.
Siku nyingine baada ya sba na ayanda kugombana sba alikuwa anaongea na rafiki yake akamweleza kuwa amemsamehe ayanda kwani hata yeye ana mambo yake sio mazuri.Rafiki yake alipomdadisi akakwepa kueleza ni mambo gani.
Elders wanataka utamu wa sibahleyeah, ile siku baba yake alivokua anaongea kuhusu prostitute akawa anapotezea hiyo mada kabisaβ¦kumbe ilikua ndo mishe zake jobergβ¦..alafu yule mwamba Amos anamwambia wateja wanakuulizia hawataki mtu mwingine tena anasisitiza wateja wanaomuulizia ni elders
Mimi nilihisi ka harufu ka umalaya ndani yake sibahle.
Kumbe kweli kalikuwa kauza mbunye nyiee
Yeah hata mwanzo alikuwa akimlaumu baba yake sana kuwa hakuwepo kwa ajili yake.Ila sidhani kama alikua anafanya kwa kupenda, inawezekana ni kutokana baba yake alimtelekeza na mama yake hakuwa na uwezo ikabidi ajiingize kwa hayo mamboβ¦unaona yule amos alikua anamwambia I use a lot of money to made youβ¦means Amos itakua ana danguro lake la ma prostitutie kama huna maisha unaenda kujifunza kazi
Ni kweli aiseee wapo real,afu participatints ni wengiKila siku nasemaga Uzalo wamewekeza sana yani hawabahatishi wanachofanya na unaona kabisa hapa hela imetumika kuonesha uhalisia
Angalia kesi ilivoenda mahakamani kuanzia mazingira hadi uendeshaji wa kesi wameupiga mwingi
Na pia mashahidi wamechukua wahindi kabisa kama ndugu wa Marehemu(Nerina Govender)
Mxolisi na mastermind wamepelekwa jela na wote wamenyoa mapara na ndevu zote wamenyoa kuendana na uhalisia wa wafungwa
Ingekua kibongo bongo hapo au basi
Yes mim pia since day oneMimi nilihisi ka harufu ka umalaya ndani yake sibahle.
Kumbe kweli kalikuwa kauza mbunye nyiee
Kama vipi mwamba aondoke nacho tu kanafanya sma wangu anaishi kwa mateso ππYes mim pia since day one
Kalifanikiwa kutoroka nahis kalirudi nyumban ,episode inayofuataKama vipi mwamba aondoke nacho tu kanafanya sma wangu anaishi kwa mateso ππ
Mweeh huyo demu wako mpenda wanaumeSielewi mlokole gani yule?
Kiufupi kanisa zima limeoza kasoro demu wangu sma
Nami nilionakuna siku sio muda mrefu ayanda, manzunza, dlomo na sba walikuwa wanapata chakula dlomo akawa anaponda kuhusu wanawake wanaojiuza sba alibadirika na kuchukia kwanini baba yake anapenda kuhukumu.
Siku nyingine baada ya sba na ayanda kugombana sba alikuwa anaongea na rafiki yake akamweleza kuwa amemsamehe ayanda kwani hata yeye ana mambo yake sio mazuri.Rafiki yake alipomdadisi akakwepa kueleza ni mambo gani.
Uzalo wamejipanga these guys means business na hapo tuna angalia episode za season 1 walizoshoot mwaka 2016 lakini wana deliver kitu chenye ubora je hiyo season 7 ambayo inaendelea huko kwao si unyama na nusu nilichecki Instagram progress yao dah ni unyama tuNi kweli aiseee wapo real,afu participatints ni wengi
Ila smangele ana kishundu flani hivi dah una faidi sana mkuuKama vipi mwamba aondoke nacho tu kanafanya sma wangu anaishi kwa mateso
Ninaposema nimekufa nimeoza kina Vera ginger wananiona kama nimedata aseeh ππIla smangele ana kishundu flani hivi dah una faidi sana mkuu