Kwa ufupi kabisa
Zweli na sma wamefanikiwa kumzika baba yao kwa heshima,
Mxo na zweli wamekutwa na hatia so wamehukumiwa 3 years jela,
Kuna kaka amekuja kwamashu akawa anamuulizia mdada kwa kuonyesha picha akaelezwa huyo dada anapokaa
Ayanda anaongea na manzuza kuhusu smangele na ayanda anasema hana namna itabidi amuoe sma sasa muda anaongea hiyo sentensi sbanle ndo anaingia na anamsikia ile ayanda anageuka sbanle anatoka mbio anakimbia
Yule jamaa aliekua anamuulizia mdada anakutana na sbanle anakimbia sba kumuona huyo kaka anashtuka na kugeuza kukimbia yule kaka anamkamata na kumbeba juujuu anamfungia kwenye buti na kutokomea pasipo julikana. IMEISHIA HAPO
(Ila nachoka kuandika ingekua kuna voice note ingekua poa sana
)