Week iliyopita nimeikosa nimeanza kufatilia Week hii.
Namsikitikia Sana ayanda karudishwa kule kule na kale ka malaya sibahle sijui dhlomo kwanini hakakemei..!
Ninachoona ni kuwa mxolisi muda wa kwenda jela umefika.
Naona wazi ma ngcobo lazima akae na dada yake mxo anaenda..!
Ila kiukweli kabisa gc ni Gay character ila anaigiza Sana huyu jamaa!
Anyway mlioangalia Week iliyopita je zweli alirudisha vipi vitu vya ndani kutoka kwa yule demu?
Jagiya