Wakuu
Hivi Mxo mbona amekuwa fala? Anasikiliza kila kitu kwa zweli, zweli atamponza huyu dogo na dhlomo kashawalia timing, mxo kazingua sana MK ni uncle wake niliumia sana walivomfanyia,
sasa subiri atoke mxo sijui atakimbilia wapi?
Nasisitiza hisia zangu zilikuwa sawa, mabuza anahusika hapa kwenye huu mchongo,uzuri dhlomo yuko makini anamsoma tu yaani soon tutajua panapovuja.
Huyu nombuso mbona kigeugeu sana wajameni? Mara ayanda mara mxo anaboa.
Nilicheka sana lile tapeli pastor lilivoumbuka likachochoraaa 😀😀 Vera ginger
mwenye Picha ya pastor akichochora.?😀😀😀
Tatizo alijifanya kuwazingua mdletshe..
Halafu kuna huyu phindile sijui ni ndugu wa kina sma? Anaonekana ni mdangaji
Siwezi kuwa na mpenzi mpumbavu kama huyu
Mademu yote pale hayana akili halafu mama nzuza ana bonge la shape sema limejificha yaani pastor anafaidi alikuwa
sana angeenda taratbu kama alivyopanga mwanzo,sema pia amepotezwa na ushauri wa mastermind,jamaa anaongozwa na hisia sana...hasa kisa dada ake anatoka na MK...japo pia mxo ameonesha ni mtu anayeweza kubadilika na kuwa hatar sana,,,
Siwezi kuwa na mpenzi mpumbavu kama huyu
Mademu yote pale hayana akili halafu mama nzuza ana bonge la shape sema limejificha yaani pastor anafaidi alikuwa
Kwa kweli hakuna mtu ninayemchukia kwa sasa kama nombuso.
Yaani haoni aibu kuchanganya wanaume ambao hawaelewani..!
Kamkubalia ayanda wa watu na huku anajirudi kwa mxo, tena kavalishwa na pete kanisa linajua..! Dah umalaya uliopitiliza.. Shit.. Bora mxo kamchana ukweli hana msimamo huyu demu kichwa box kabisa.
Naona pastor mwengine wa muda katia team.. Asije tu kuwa kama yule nkosi. 😀😀
Nosipho nae malaya sana leo ana bahati thobile angemfanyia mbaya sana.
Bado nna hasira na nombuso.. Vera ginger, Jagiya.